Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

Kwanini usijibane hizo hela unazowapa hao wana mizinga ili ununue hilo Godoro,na vitu vingine?kaa ukijua kuwa maisha hayajawahi kuwa rahisi hivyo unavyowazia,hizo ten unazohonga ni hela ungeweza kufanyia mambo mengine ya maana na ukafanikiwa...,...
Jaribu kupitia tena thread ya jamaa uje utoe ushauri tena
 
Siyo italipa. Ndiyo mwanzo wa kutoboa kwasababu ukiamka asubuhi unataka ule, unataka kuvaa, kodi inatakiwa ulipe, umeme na maji. Hakika huwezi kukaa kizembe na lazima akili iwe nyepesi.
Unamka asubuhi upo nyumbani, unakula ugali wa mama, unalala bure, haudaiwi kodi wala maji. Usipoangalia utajikuta umezeekea nyumbani halafu mnaanza kugombania mali za urithi.
Wazazi wetu walikuwa wakiona uchumi hauendi vizuri, wanahama wanaenda mkoa mwingine.
Toka hapo home, waombe hata wazazi wawe wanakulipia kodi tu.
Maisha ni kama kioo, ukiyachekea nayo yanakuchekea
nitajaribu hii risk, may be italipa.
 
Nimeangalia uzi zako nyingi wewe ni baadh ya wale watu wanao Sema magufuli kakufanya ue Maskin ivyo usijal mzee kafa Anza kujifundisha gar kabisa mana hela zitakua nyingi mtaan
Ukweli lzm usemwe ******** ameharibu hii nchi vibaya sana,kama hupendi chomoa
 
Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment.

Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika.

So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
Kheri na Baraka kwa siku ya kuzaliwa kwako! Hongera kwa kutimiza miaka 30!
Endeleza mapambano, maana maisha ni mapambano, angalia biashara yenye tija, wateja, ijue nje ndani, na use tayari kujituma na kujifunza daima.
Kila la kheri kwako!
 
Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment.

Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika.

So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
Usikate tamaa ndugu yangu.Omba,Mungu.Na endelea kubadili mbinu ,utafanikiwa tu.
 
Siyo italipa. Ndiyo mwanzo wa kutoboa kwasababu ukiamka asubuhi unataka ule, unataka kuvaa, kodi inatakiwa ulipe, umeme na maji. Hakika huwezi kukaa kizembe na lazima akili iwe nyepesi.
Unamka asubuhi upo nyumbani, unakula ugali wa mama, unalala bure, haudaiwi kodi wala maji. Usipoangalia utajikuta umezeekea nyumbani halafu mnaanza kugombania mali za urithi.
Wazazi wetu walikuwa wakiona uchumi hauendi vizuri, wanahama wanaenda mkoa mwingine.
Toka hapo home, waombe hata wazazi wawe wanakulipia kodi tu.
Maisha ni kama kioo, ukiyachekea nayo yanakuchekea
mkuu home nilishasepa kitambo sana.
may be hiyo risks yako nijaribu tena kivingine, nilishawahi jilipua kuishi mbeya nikaishi miez 7 tatizo sikuona kama sehemu sahihi kuanzia maisha.
nilipata room mitaa ya isanga nikawa nalipa kodi 15k kwa mwezi upande wa kodi nilifanikiwa. nilikimbiza maisha kwa hiyo miezi nikaona hapa sitoboi nikafanya uamuzi wa kwenda dar napo naona pamekuwa pagumu zaidi.
 
Back
Top Bottom