Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

I do understand the situation. I know what you are going through.

Mkuu, chini ya jua ni marufuku kukata tamaa.

After a dark night, there is a bright day.

Just Keep ya head up, and reshuffle your strategies on battle ground. Ikiwezekana change the place, hamia Mkoa mwingine kaanze upya. Sometimes ardhi huwa inamkataa mtu.

Academic certificates ni makaratasi tu. Wapo wengi sana vyeti havikuwasaidia chochote, wakatupa vyeti uvunguni wakajichanganya mtaani na kutoboa.

-Kaveli-
 
Lazima kutakuwa na makosa somewhere. Mfano, kuchagua sana kazi au kutoku-apply kazi zinasomeka nje ya fani yako (position) lakini zinazohitaji elimu yako.

Hiyo tabia ya kupiga mizinga wenzio ndio na wao unawaweka kwenye risk ya kuwa kama wewe.
sikupingi may be kuna makosa mahala, cha msingi ni kutafuta solution.
 
There is a time, the only option left is to give up

Umesema umesoma had chuo [emoji115]
yah inawezekana i read somewhere Sometimes you have to give up. Sometimes knowing when to give up, when to try something else, is genius. Giving up doesn’t mean stopping
 
I do understand the situation. I know what you are going through.

Mkuu, chini ya jua ni marufuku kukata tamaa.

After a dark night, there is a bright day.

Just Keep ya head up, and reshuffle your strategies on battle ground. Ikiwezekana change the place, hamia Mkoa mwingine kaanze upya. Sometimes ardhi huwa inamkataa mtu.

Academic certificates ni makaratasi tu. Wapo wengi sana vyeti havikuwasaidia chochote, wakatupa vyeti uvunguni wakajichanganya mtaani na kutoboa.

-Kaveli-
inawezekana ardhi la darisalade imenigomea kabisa.
 
Mbona kazi zimejaa mtaani, tatizo wengi mnatafuta ajira!
We endelea kuuza nyago, 40 kesho tu hapo!
 
Niliwahi kusikia Mch mmoja akisema,
"Mwanaume mwenye akili ni yule analala kwenye box wakati kwao kunahela, binti ukifuatwa na mwanaume wa aina hiyo usimuache mtupu, mkubali haraka sana"
 
Usichague kazi ! Tafuta kamtaji kidogo , tafuta sehemu yenye watu wengi , anza kamradi ka chips mdogomdogo , ukiwa na nidhamu ya pesa utatoboa . Sasa sio wakati wa kuchagua kazi , ili mrafi mwisho wa siku kuna chochote kinachoingia . Kuna mama alinisimulia alijenga nyumba kwa kuuza maandazi !

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la vijana mkishapata hivyo vidogori vyenu vya kudesa mnapandisha mabega mpaka basi, hamtaki kazi za kutoka jasho. Sisi wakati tunamaliza shule ajira zilikata, enzi zile za SAP imepamba moto, mabeberu yametukalia mabegani tukakuta mtaani serikali ilishapigwa marufuku kutoa ajira mpya. Hivyo ikawa kila mtu ajijue mwenyewe. Nina rafiki zangu walienda kuwa wapiga debe kwenye daladala za Mbagala - Posta, sisi wengine ilibidi kuingia kwenye kusaidia mafundi ujenzi. Mwanangu unapiga kazi unarudi home jioni uko hoi, lakini siyo haba tukawa tunajikimu kwa hivyo! Sasa mtu kama una malengo yako ya biashara utapata mtaji huko! Maana si kula unakula kwa shemeji? Sasa vijana wa leo kumwambia twende tupige kibarua anakuangaliaaaaaa!
 
Nimeangalia uzi zako nyingi wewe ni baadh ya wale watu wanao Sema magufuli kakufanya ue Maskin ivyo usijal mzee kafa Anza kujifundisha gar kabisa mana hela zitakua nyingi mtaan
 
Mleta mada kila mtu anakupa comment ya kukupa faraja na kukutia moyo ila kama ungeleta thd kua maisha umeyapatia na unamiliki magari ya kifahari na maisha ni mazuri basi wangekuponda na kukuona wewe ni muongo umepigika tu,

Hii ndio JF.
[emoji3][emoji3]
Ndo watanzania hao[emoji848]
 
Mleta mada kila mtu anakupa comment ya kukupa faraja na kukutia moyo ila kama ungeleta thd kua maisha umeyapatia na unamiliki magari ya kifahari na maisha ni mazuri basi wangekuponda na kukuona wewe ni muongo umepigika tu,

Hii ndio JF.
😀😀
Mbona kidukulilo watu uwa tunampa sapoti ya kutosha,tena mara nyingine akipotea jf uwa tunamtafuta kabisa aje 1.2.3 za bata lake
 
Back
Top Bottom