sawariya
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 388
- 359
Kama nilivyoanza story yangu leo tarehe 17/06/2025 nimefikisha miaka miwili kabisa yakutumia usafiri wa mwendokasi( BRT ) kama usafiri wangu kwenda na kurudi kazini kila iitwapo leo.
Sasa basi nikaona ndani ya siku hii ya maadhimisho hayo nijaribu kuzungumzia yale yaliyonishangaza,kunikera,kunifurahisha kwa kipindi hiki cha miezi 24
1.KUNIFURAHISHA
Yapo baadhi ya mambo utakayo furahia ukipanda mabasi haya moja wapo ya hayo ni,ukishafanikiwa kuingia ndani uhakika wa kuwahi unakoenda upo.
2.KUSHANGAZA
Ni vile watu wamekosa ustaarabu kupanga tu foleni mkaingia kwa utaratibu bila fujo,jambo ambalo hata ng’ombe wanapoingizwa zizini wametushinda?binadamu hawajali wazee,watoto,wagonjwa,walemavu na wajawazito?hapana huu sio ustaarabu hata kidogo
3.KUNIKERA
Inawezekana vipi mwanaume unavaa singlend na pengine hujaoga na kwapa halijanyolewa unapanda mabasi haya na kibaya zaidi unashika bomba?
4.TAFSIRI YANGU
😂😂😂Abiria wanagombana hafi mbavu kdg zivunjike ili tu kuwahi siti unayoitumia dakika zisizozidi 30 kufika unapoenda ili hali ulikuwa umesimama kituoni saa zima😂😂😂sasa umkute huyo aliewahi siti bahati mbaya amepata zile za watu wamahitaji maalumu anageukia kuleeee au anajifanya bize na simu ilimradi tu asimpishe mzee aliesimama mbele yake😂😂😂sasa umpate yule aliekaa siti ya dirishani anajiona kayapatia maisha hakuna kama yeye😂😂😂anajiona mgeni rasmi na sisi wengine wageni waalikwa😂😂😂😂😂
okay nisiwachoshe ila mimi ndio ivyo nishajikomboa kesho naenda kuchukua passo mahali ya piston tatu mbezi kkoo mafuta ya afutatu nitakuwa nawatazama kama wapenzi watazamaji wetu😂😂😂😂😂