Leo nimetoka mtaani nimeshangaa sana

Leo nimetoka mtaani nimeshangaa sana

Hahaha, mimi sijafika mbali pale tu juu kwenye kuwasha gari nikajua huyu kiduku
Nimesoma content nilipofika chini ikabidi nirudi juu kuangalia ni nani mwandishi wa story,nimejikuta najifyonza kwa sauti kwani ningeona jina la mleta uzi kabla nisingepoteza muda kusoma content ya uzi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sina tatizo na hawa walinzi.of course ni wa kampuni kubwa ya ulinzi nchini TZ hulinda nyumba za kibalozi. Huwa sina tatizo nao maana hata mchana jua likiwa kali huja kukaa kibarazani kwangu wapoze miili yao kwenye AC ambayo nmeweka kibarazani.

Haha Ishi vizuri na mlinzi wako mkuu, hata update zanje hakupi!
 
Mkuu sina tatizo na hawa walinzi.of course ni wa kampuni kubwa ya ulinzi nchini TZ hulinda nyumba za kibalozi. Huwa sina tatizo nao maana hata mchana jua likiwa kali huja kukaa kibarazani kwangu wapoze miili yao kwenye AC ambayo nmeweka kibarazani.

Kwa mwezi huwa unatumia unit ngapi?
 
Back
Top Bottom