Leo nimetoka mtaani nimeshangaa sana

Leo nimetoka mtaani nimeshangaa sana

Mkuu hata picha ya hizo remote zikiwa juu ya gazeti lolote la tz au maji ya tz hamna.

Make nahofia utazi-google.
 
"sijala mwezi mzima, nalala jalalani ,nitakufa muda wowote kwa njaa"

eeh wagambire Professor Mshumba wa Muleba[emoji23][emoji23]... unafurahisha sana mkuu nashangaa kwanini watu baadhi hawakupendi... wakati atleast unatupa Exposure akili zisidumazwe na korona
 
Nimesoma content nilipofika chini ikabidi nirudi juu kuangalia ni nani mwandishi wa story,nimejikuta najifyonza kwa sauti kwani ningeona jina la mleta uzi kabla nisingepoteza muda kusoma content ya uzi!
Same to me. Nimejikuta nimekasirika sana.
 
Kiduku mwana wa Lilo, Leo umeniangusha kabisa hujakutana hata na traffic uwagawie noti wachambe koo.
 
Mkuu sina tatizo na hawa walinzi.of course ni wa kampuni kubwa ya ulinzi nchini TZ hulinda nyumba za kibalozi. Huwa sina tatizo nao maana hata mchana jua likiwa kali huja kukaa kibarazani kwangu wapoze miili yao kwenye AC ambayo nmeweka kibarazani.
Ulipotelea wap jamani? Nikahisi au umeenda Sweden kumbe ulijikarantine? Karibu tena tumekumiss bana😂
Karantine bila Uzi kama huu hainogi.

Vip vitu ulivyonunua kwa ajili ya karantine si vitaharibika bure stoo?
 
Ndoto za ajabu sana unaota ndoto nzuri, ukistuka kumbe bado upo mlemle karantini
 
Daaah..kiukweli sijawahi pata muda wa kuhesabu.mimi huwa weka umeme kwa mwaka mzima.nipo katika daraja flani la watumiaji wa umeme kule tanesco.sijawahi zimikiwa na meter hata kwa sekunde. Umeme ambao nlinunua kwa mara ya kwanza ulileta ERROR sababu ilikuwa ni kiwango ambacho hakijasetiwa kwenye meter.


Kwa mwezi huwa unatumia unit ngapi?
 
Hapana mkuu...magazeti ya TZ huwa hata naposoma napata shida sana maana wanatumia technolojia ya zamani sana ku print macho yangu yanapata shida kusoma maandishi yake.kutokana pia na material ya karatasi wanazotumia. Pia waandishi wengi wa TZ hawana shule. Hivyo hawawezi andika kitu cha maana.

Mkuu hata picha ya hizo remote zikiwa juu ya gazeti lolote la tz au maji ya tz hamna.

Make nahofia utazi-google.
 
Hapana mkuu...magazeti ya TZ huwa hata naposoma napata shida sana maana wanatumia technolojia ya zamani sana ku print macho yangu yanapata shida kusoma maandishi yake.kutokana pia na material ya karatasi wanazotumia. Pia waandishi wengi wa TZ hawana shule. Hivyo hawawezi andika kitu cha maana.
Sijasema usome, nacho taka ni nunua gazeti ni sh 500 tu, afu fanya kama nilivyokueleza, kwani sh 500 kwako ni kitu gani?!Au haina quality pia?
 
Jipige kabisa maana pamoja na kujua who's a storyteller bado ukapoteza muda kucomment.
Ajipige kifuani kwa mkono Mara tatu na kusema Mimi ni mjinga sana kutwa Mara tatu kwa siku saba
 
Back
Top Bottom