Leo nimetongozwa na binti mdogo tu, imenikumbusha sana ujana wangu

Hahaha
 
Daaah
 
Kesho ntawapa mrejesho maana nimeshindwa kumkubalia kirahisi ataniona malaya, nimechukua namba zake tu nimemuahidi nitamtafuta.
Daah,
Mbuzi kafia kwa muuza supu afu mpishi anachelewa kuwasha jiko!!!!

Mrejesho tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…