Leo nimetongozwa na binti mdogo tu, imenikumbusha sana ujana wangu

Ka Irene kangu kamemaliza form four mwaka Jana.Mda mwingi sjakapiga miti majuzi nimekaita nimekakula nashangaa papuchi inatoa harufu.Usiku tunachati nikakaeleza Yale mabadiliko ya mwili nashangaa kameniblock[emoji23][emoji23][emoji23] Wakati nilitaka nikape pesa kaende Hospital.
 
Jaman, mtumie tuu hela. Muamala haunaga block
 
Sasa hii tuite vp? Mbuzi kafia kwa muuza supu au inzi kafia kwenye kidonda?

Kazi kwako mkuu.
 
Wakuu mmebarikiwa,

Leo katika pitapita zangu mtaani, kuna mabinti walikiwa wamekaa kibarazani wanasukana, nilipita bila kuwasalimia maana walikuwa bize hivi.

Sasa wakati narudi njia ileile nikaona binti mmoja anasimama anakuja barabarani akanisimamisha akanipa hi, nikaitikia fresh tu.

Akaanza kujiumauma ooh kaka samahani unajua nakuonaga unapita nawaambiaga wenzangu yule kaka nampenda sasa leo umepita nimeoana nikusalimie, nikamjibu asante ondoa shaka kwa hiyo bado unanipenda au unawaambiaga tu rafiki zako?

Akajibu ndio hivyo sahamani lakini, wakuu hii haliya kutongozwa na binti huyu imenikumbusha miaka 15 nyuma wakati niko kijana barobaro mabinti walikuwa wananitongoza haipiti mwezi, hapa miaka ya katikati ubize wa maisha na nini nikawa sijijali sana ila sasa binti huyu amenikumbusha ujana wangu.

Kesho ntawapa mrejesho maana nimeshindwa kumkubalia kirahisi ataniona malaya, nimechukua namba zake tu nimemuahidi nitamtafuta.
Oya mkuu leta mwendelezo basi mzee Baba au umesha sahau tena.
 
Hongera sana mkuu
 
Back
Top Bottom