FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Yaani nikikumbuka nacheka sana, kile choo huwa nasemaga sitawahi nije nikitumie kwa jinsi kilivyo kichafu, na kweli imekuwa hivyo miaka yote.
Ila bhana leo sijui imekuwaje, nilishikwa na tumbo la 5G halafu kile choo ndio the nearest, aisee, nimekitumia kwa furaha zoote, tumbo acheni nyie, aaagh!
Ila bhana leo sijui imekuwaje, nilishikwa na tumbo la 5G halafu kile choo ndio the nearest, aisee, nimekitumia kwa furaha zoote, tumbo acheni nyie, aaagh!