[emoji28][emoji28][emoji28]nimejikuta nacheka kifala sana. Aki tena.
Nakumbuka kuna siku nilimuomba mama hela ya daftari enzi hizooo[emoji28][emoji28]niko darasa la tatu akaniambia nitakupa pesa ya daftari kesho nenda shule hivyo hivyo[emoji17][emoji17] nikamtegea katoka nje hapo niko na ufagio wangu na kidumu cha maji[emoji2957][emoji2957] si nikamuibia hela bhna nikaenda kununua daftari[emoji38][emoji38] mbona shughuli niliipata mimi jamani[emoji23][emoji23]
Yule mwanamke anajua kufinya jaman kha[emoji1787][emoji1787] nilifinywa mimi..[emoji1][emoji1][emoji1]mpka nikahisi kutapika damu..halafu alikuwa ananifinya huku anacheka unaweza kujua unangβatwa na siafu[emoji28][emoji28]
Nakumbuka aliniambia ninakupa kipondo kwa sababu umeiba na sio kwa sababu umenunua daftari.
Ama kweli mtoto usimnyime adhabu.[emoji28][emoji23]vile vifinyo vilinirudisha kwenye mstari wallah.[emoji23][emoji23]
Sijui hata imekuwaje leo kukumbuka mapigo konki ya mama Chakorii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]