Leo nimevikumbuka vifinyo vya mama jamani

Leo nimevikumbuka vifinyo vya mama jamani

[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]nimejikuta nacheka kifala sana. Aki tena.

Nakumbuka kuna siku nilimuomba mama hela ya daftari enzi hizooo[emoji28][emoji28]niko darasa la tatu akaniambia nitakupa pesa ya daftari kesho nenda shule hivyo hivyo[emoji17][emoji17] nikamtegea katoka nje hapo niko na ufagio wangu na kidumu cha maji[emoji2957][emoji2957] si nikamuibia hela bhna nikaenda kununua daftari[emoji38][emoji38] mbona shughuli niliipata mimi jamani[emoji23][emoji23]

Yule mwanamke anajua kufinya jaman kha[emoji1787][emoji1787] nilifinywa mimi..[emoji1][emoji1][emoji1]mpka nikahisi kutapika damu..halafu alikuwa ananifinya huku anacheka unaweza kujua unang’atwa na siafu[emoji28][emoji28]

Nakumbuka aliniambia ninakupa kipondo kwa sababu umeiba na sio kwa sababu umenunua daftari.

Ama kweli mtoto usimnyime adhabu.[emoji28][emoji23]vile vifinyo vilinirudisha kwenye mstari wallah.[emoji23][emoji23]

Sijui hata imekuwaje leo kukumbuka mapigo konki ya mama Chakorii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
 
duh darasa la tatu ushaanza kabumbu! mbona hatari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘
🀣🀣🀣nilipoteza kipaji mkuu..

Nilikuwa nikitegemewa na darasa mkuu usishangaeπŸ˜…

Ila nilikuwa na speed jamaniπŸ˜…πŸ˜…kama Sallah
 
20200711_060626.jpg
 
🀣🀣🀣nilipoteza kipaji mkuu..

Nilikuwa nikitegemewa na darasa mkuu usishangaeπŸ˜…

Ila nilikuwa na speed jamaniπŸ˜…πŸ˜…kama Sallah
mbona unaniyumbisha chifu au wewe unamaanisha kabumbu la kina sallah na sio kabumbu?
maana nilijua unamaanisha kabumbu ndomaana nikashangaa
πŸ€£πŸ€£πŸ‘
 
mbona unaniyumbisha chifu au wewe unamaanisha kabumbu la kina sallah na sio kabumbu?
maana nilijua unamaanisha kabumbu ndomaana nikashangaa
πŸ€£πŸ€£πŸ‘
Kwani wew ukisikia kabumbu unawaza nini..
Labda tuanzie hapo kwanza

KABUMBUβœ…

KAPUMBU❌
 
mbona unaniyumbisha chifu au wewe unamaanisha kabumbu la kina sallah na sio kabumbu?
maana nilijua unamaanisha kabumbu ndomaana nikashangaa
πŸ€£πŸ€£πŸ‘

Sion tofauti mbona sasa.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… haya tuma salamu kama umenielewa..πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚
unamaanisha kutuma salamu hizi nazojua au kutuma salamu kama salamu ?
kama ni salamu kama salamu mimi kidume mkuu nitake radhiπŸ˜†πŸ‘
 
unamaanisha kutuma salamu hizi nazojua au kutuma salamu kama salamu ?
kama ni salamu kama salamu mimi kidume mkuu nitake radhiπŸ˜†πŸ‘

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… haya sawa
 
Back
Top Bottom