Leo nimevikumbuka vifinyo vya mama jamani

[emoji28][emoji28][emoji28]yule mwanamke ni shida jaman.
Halafu alikuwa na short nails lakin[emoji28][emoji28]akiniganda sasa[emoji3344][emoji3344]Unaweza dhani umeng’ang’aniwa ma siafu
[emoji23][emoji23][emoji23] pole, mama yangu alikua anafinya na vile visu vinakaaga kwene seti ya vijiko havina makali kihivyo jamani nina alama hadi leo kwene shavu sitasahau.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] pole, mama yangu alikua anafinya na vile visu vinakaaga kwene seti ya vijiko havina makali kihivyo jamani nina alama hadi leo kwene shavu sitasahau.
🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️😅😅😅pole yako aiseeh...
Jitahidi kupaka mafuta ya nazi ya kutengeneza mwenywe taratibu alama zitaanza kuondoka.
 
Kama wa kike utakuwa ulifinywa mapajani...
 
[emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hukuletaga ule utundu wetu uleeee akakufinya mapajani ????
Cc Smart911
 
Watoto wa kiume hatukuwa tunafinywa.. wa kike wamefinywa sana za mapajani
Nakiri nimekula sana vifinyo aiseh.

Kwa mshua nilikulaga m’bamizo kama wa North Korea🤣🤣

Siamini kama sasa hivi amekuwa mshkaji wangu
 
Nimekuona leo Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…