Leo nimevikumbuka vifinyo vya mama jamani

Leo nimevikumbuka vifinyo vya mama jamani

Hahahah ..dede ..

Ah ila mtu "akizidiwa" si ruksa kuomba usaidizi?....maana ukatili wa makusudi yafaa ujibiwe kwa ukarimu wa bahati mbaya😜
😂😂😂 jiwe litasaga jiwe mkuu...

Itabidi utafute kiburudisho cha kuokoa jahazi hapo kwa ofisi mkuu🤣🤣
 
Soma kitu inaitwa "Stockholm syndrome" ujue kuwa kuna watu wanaweza kuwa-abused na kufurahia na kumshabikia abuser wao. Ingia Google, utajua maana yake. Umefinywa halafu unafurahia ulivyofinywa! Halau haulitambui hilo. Utakuwa na Stockholm syndrome. Na ujue huo ni ugonjwa.
Labda wewe ndie uliyekuwa abused mkuu sio mimi.
 
Soma kitu inaitwa "Stockholm syndrome" ujue kuwa kuna watu wanaweza kuwa-abused na kufurahia na kumshabikia abuser wao. Ingia Google, utajua maana yake. Umefinywa halafu unafurahia ulivyofinywa! Halau haulitambui hilo. Utakuwa na Stockholm syndrome. Na ujue huo ni ugonjwa.
Vyovyote utakavyoitafsiri wewe lakini siwezi husisha vifinyo vyangu na huyo bwana Google.🥂
 
Kuna wanawake kule kaskazini eti wasipopigwa basi hawapendwi. Kuna mmoja hapa anasema alikuwa anapigwa mpaka mwiko unavunjika! Halafu anachekelea hiyo abuse. This is pure child abuse ambayo inatakiwa kukemewa na wala siyo kuchekewa na kupendwa.
Vyovyote utakavyoitafsiri wewe lakini siwezi husisha vifinyo vyangu na huyo bwana Google.🥂
 
Sasa hayo ndo makosa ya aliyependekeza voicenote😂😂😂 mkuu inabidi alaumiwe

Teh..mtoa wazo yeye kashatoa! yafuatayo ni utashi mwingine! Japo nae ni binadamu kama sisi nadhani anajua umuhimu wa ukarimu na kusaidiana pale tunapokwama!..
 
Teh..mtoa wazo yeye kashatoa! yafuatayo ni utashi mwingine! Japo nae ni binadamu kama sisi nadhani anajua umuhimu wa ukarimu na kusaidiana pale tunapokwama!..
🤣🤣🤣naona unajaribu kujitetea ili uonewe huruma🤪🤪
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimejaribu kuifikiria tangawizi jinsi ilivyo nimejikuta nacheka tu
Ni tangawizi haswa
 
Back
Top Bottom