Leo nimevikumbuka vifinyo vya mama jamani

Nakiri nimekula sana vifinyo aiseh.

Kwa mshua nilikulaga m’bamizo kama wa North Korea🀣🀣

Siamini kama sasa hivi amekuwa mshkaji wangu
Wengine sisi tushalambwa sana makofi... na nshang'oa kucha sana kwa kukimbizwa na mama.... acha tu
 
Nakiri nimekula sana vifinyo aiseh.

Kwa mshua nilikulaga m’bamizo kama wa North Korea🀣🀣

Siamini kama sasa hivi amekuwa mshkaji wangu
Hadi sasa hujasema kama vifinyo vilikuwa vya mapaja au la... Nasubiria
 
Hivi kwa nini watu wengi tuliokuwa abused na wazazi wetu huwa tunafurahia hali hiyo baadae?
 
Kumbe tipo wengi tuliopitia hii hatua.
Mimi nilikuwa napigwa na mwiko mpaka unavunjika.
Au anakupigia fagio la chelewa la kudekia chooni.
Yaani kila nikikumbuka nacheka sana
 
Watufikirie kwahilo jamani (voicenote)

Khaaa..hii miandiko yenu tu inatuinua, sasa mkituwekea voice notes si itakuwa balaa kabisa!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe tipo wengi tuliopitia hii hatua.
Mimi nilikuwa napigwa na mwiko mpaka unavunjika.
Au anakupigia fagio la chelewa la kudekia chooni.
Yaani kila nikikumbuka nacheka sana
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Wahenga wataelewa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zimeota sema zipo kama tangawizi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimejaribu kuifikiria tangawizi jinsi ilivyo nimejikuta nacheka tu
 
Khaaa..hii miandiko yenu tu inatuinua, sasa mkituwekea voice notes si itakuwa balaa kabisa!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Bora muwekewe hizo voice note mpate kuvurugwa vizuriπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bora muwekewe hizo voice note mpate kuvurugwa vizuriπŸ˜‚πŸ˜‚

Hahaha mtuhurumie jameni, yani unataka muda wote tuwe tumekaa kwa kukunja nne na kupiga miluzi tu huku tumeweka earphones masikioni!.. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hahaha mtuhurumie jameni, yani unataka muda wote tuwe tumekaa kwa kukunja nne na kupiga miluzi tu huku tumeweka earphones masikioni!.. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ™ŒπŸ™Œ
Ndicho kilichobaki mkuu hakuna namnaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndicho kilichobaki mkuu hakuna namnaπŸ˜‚πŸ˜‚

Dah kweli hapo utakuwa ni ukatili kiwango cha juu..

Hahah..ila kwa kuwa kuna viti vya matairi sasa hivi ni mwendo wa kuserereka navyo tu kutoka desk moja hadi jingine....itakuwa aibu sana nimetoka kusikiliza voice note yako halafu nisimame...hilo tent lake nitawaambia nini watu!!?πŸ˜†πŸ˜†
 
Tena ni ukatili wa kiwango cha makusudi kabisa🀣🀣

Mbona mtajuta...kila saa dede tuπŸ˜…πŸ˜…
 
Tena ni ukatili wa kiwango cha makusudi kabisa🀣🀣

Mbona mtajuta...kila saa dede tuπŸ˜…πŸ˜…

Hahahah ..dede ..

Ah ila mtu "akizidiwa" si ruksa kuomba usaidizi?....maana ukatili wa makusudi yafaa ujibiwe kwa ukarimu wa bahati mbaya😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…