Leo nimevikumbuka vifinyo vya mama jamani

Leo nimevikumbuka vifinyo vya mama jamani

Nakiri nimekula sana vifinyo aiseh.

Kwa mshua nilikulaga m’bamizo kama wa North Korea🤣🤣

Siamini kama sasa hivi amekuwa mshkaji wangu
Wengine sisi tushalambwa sana makofi... na nshang'oa kucha sana kwa kukimbizwa na mama.... acha tu
 
Nakiri nimekula sana vifinyo aiseh.

Kwa mshua nilikulaga m’bamizo kama wa North Korea🤣🤣

Siamini kama sasa hivi amekuwa mshkaji wangu
Hadi sasa hujasema kama vifinyo vilikuwa vya mapaja au la... Nasubiria
 
Hivi kwa nini watu wengi tuliokuwa abused na wazazi wetu huwa tunafurahia hali hiyo baadae?
 
[emoji28][emoji28][emoji28]nimejikuta nacheka kifala sana. Aki tena.

Nakumbuka kuna siku nilimuomba mama hela ya daftari enzi hizooo[emoji28][emoji28]niko darasa la tatu akaniambia nitakupa pesa ya daftari kesho nenda shule hivyo hivyo[emoji17][emoji17] nikamtegea katoka nje hapo niko na ufagio wangu na kidumu cha maji[emoji2957][emoji2957] si nikamuibia hela bhna nikaenda kununua daftari[emoji38][emoji38] mbona shughuli niliipata mimi jamani[emoji23][emoji23]

Yule mwanamke anajua kufinya jaman kha[emoji1787][emoji1787] nilifinywa mimi..[emoji1][emoji1][emoji1]mpka nikahisi kutapika damu..halafu alikuwa ananifinya huku anacheka unaweza kujua unang’atwa na siafu[emoji28][emoji28]

Nakumbuka aliniambia ninakupa kipondo kwa sababu umeiba na sio kwa sababu umenunua daftari.

Ama kweli mtoto usimnyime adhabu.[emoji28][emoji23]vile vifinyo vilinirudisha kwenye mstari wallah.[emoji23][emoji23]

Sijui hata imekuwaje leo kukumbuka mapigo konki ya mama Chakorii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Kumbe tipo wengi tuliopitia hii hatua.
Mimi nilikuwa napigwa na mwiko mpaka unavunjika.
Au anakupigia fagio la chelewa la kudekia chooni.
Yaani kila nikikumbuka nacheka sana
 
Zimeota sema zipo kama tangawizi

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimejaribu kuifikiria tangawizi jinsi ilivyo nimejikuta nacheka tu
 
Bora muwekewe hizo voice note mpate kuvurugwa vizuri😂😂

Hahaha mtuhurumie jameni, yani unataka muda wote tuwe tumekaa kwa kukunja nne na kupiga miluzi tu huku tumeweka earphones masikioni!.. 😂 😂 😂 😂 🙌🙌
 
Hahaha mtuhurumie jameni, yani unataka muda wote tuwe tumekaa kwa kukunja nne na kupiga miluzi tu huku tumeweka earphones masikioni!.. 😂 😂 😂 😂 🙌🙌
Ndicho kilichobaki mkuu hakuna namna😂😂
 
Ndicho kilichobaki mkuu hakuna namna😂😂

Dah kweli hapo utakuwa ni ukatili kiwango cha juu..

Hahah..ila kwa kuwa kuna viti vya matairi sasa hivi ni mwendo wa kuserereka navyo tu kutoka desk moja hadi jingine....itakuwa aibu sana nimetoka kusikiliza voice note yako halafu nisimame...hilo tent lake nitawaambia nini watu!!?😆😆
 
Tena ni ukatili wa kiwango cha makusudi kabisa🤣🤣

Mbona mtajuta...kila saa dede tu😅😅
 
Tena ni ukatili wa kiwango cha makusudi kabisa🤣🤣

Mbona mtajuta...kila saa dede tu😅😅

Hahahah ..dede ..

Ah ila mtu "akizidiwa" si ruksa kuomba usaidizi?....maana ukatili wa makusudi yafaa ujibiwe kwa ukarimu wa bahati mbaya😜
 
Back
Top Bottom