Leo nimevikumbuka vifinyo vya mama jamani

Hahahah ..dede ..

Ah ila mtu "akizidiwa" si ruksa kuomba usaidizi?....maana ukatili wa makusudi yafaa ujibiwe kwa ukarimu wa bahati mbaya😜
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jiwe litasaga jiwe mkuu...

Itabidi utafute kiburudisho cha kuokoa jahazi hapo kwa ofisi mkuu🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jiwe litasaga jiwe mkuu...

Itabidi utafute kiburudisho cha kuokoa jahazi hapo kwa ofisi mkuu🀣🀣

hahah..me naona ili haki itendeke aliempeleka dede ndio amtulize.
 
Soma kitu inaitwa "Stockholm syndrome" ujue kuwa kuna watu wanaweza kuwa-abused na kufurahia na kumshabikia abuser wao. Ingia Google, utajua maana yake. Umefinywa halafu unafurahia ulivyofinywa! Halau haulitambui hilo. Utakuwa na Stockholm syndrome. Na ujue huo ni ugonjwa.
Labda wewe ndie uliyekuwa abused mkuu sio mimi.
 
Vyovyote utakavyoitafsiri wewe lakini siwezi husisha vifinyo vyangu na huyo bwana Google.πŸ₯‚
 
Kuna wanawake kule kaskazini eti wasipopigwa basi hawapendwi. Kuna mmoja hapa anasema alikuwa anapigwa mpaka mwiko unavunjika! Halafu anachekelea hiyo abuse. This is pure child abuse ambayo inatakiwa kukemewa na wala siyo kuchekewa na kupendwa.
Vyovyote utakavyoitafsiri wewe lakini siwezi husisha vifinyo vyangu na huyo bwana Google.πŸ₯‚
 
Sasa hayo ndo makosa ya aliyependekeza voicenoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu inabidi alaumiwe

Teh..mtoa wazo yeye kashatoa! yafuatayo ni utashi mwingine! Japo nae ni binadamu kama sisi nadhani anajua umuhimu wa ukarimu na kusaidiana pale tunapokwama!..
 
Teh..mtoa wazo yeye kashatoa! yafuatayo ni utashi mwingine! Japo nae ni binadamu kama sisi nadhani anajua umuhimu wa ukarimu na kusaidiana pale tunapokwama!..
🀣🀣🀣naona unajaribu kujitetea ili uonewe hurumaπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Ni tangawizi haswa
 
Hahaha napenda wanafunzi smart vichwani! Wanaelewa mambo fasta tu... ..Binadamu sifa yetu ukarimu!
🀣🀣🀣🀣ujanja wako ni wa kiwango cha kokoto..🀝🀝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…