Nafasi imeshajaa mkuu.nafasi yako haipo..pole!!
Basi wewe ni mkorofi.Hilo jina la utani la Mbowe. Abuse imekuwa utamaduni wetu. Mwanamke asipopigwa anaona hapendwi. Mtoto akipigwa anaona alinyooshwa sawa. Abuse ikishakuwa utamaduni, inaonekana kuwa kitu cha kawaida.
Basi wewe ni mkorofi.
Au utaniambia tena mkorofi ni mbunge wenu😏😏
Tuache na utamaduni wetu we rudi nchini mwako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]nimejikuta nacheka kifala sana. Aki tena.
Nakumbuka kuna siku nilimuomba mama hela ya daftari enzi hizooo[emoji28][emoji28]niko darasa la tatu akaniambia nitakupa pesa ya daftari kesho nenda shule hivyo hivyo[emoji17][emoji17] nikamtegea katoka nje hapo niko na ufagio wangu na kidumu cha maji[emoji2957][emoji2957] si nikamuibia hela bhna nikaenda kununua daftari[emoji38][emoji38] mbona shughuli niliipata mimi jamani[emoji23][emoji23]
Yule mwanamke anajua kufinya jaman kha[emoji1787][emoji1787] nilifinywa mimi..[emoji1][emoji1][emoji1]mpka nikahisi kutapika damu..halafu alikuwa ananifinya huku anacheka unaweza kujua unang’atwa na siafu[emoji28][emoji28]
Nakumbuka aliniambia ninakupa kipondo kwa sababu umeiba na sio kwa sababu umenunua daftari.
Ama kweli mtoto usimnyime adhabu.[emoji28][emoji23]vile vifinyo vilinirudisha kwenye mstari wallah.[emoji23][emoji23]
Sijui hata imekuwaje leo kukumbuka mapigo konki ya mama Chakorii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu wangu wee nimecheka hadi baaas, afu kwa sauti hadi watu wananshangaa. LolBasi kuna siku tulitoka na mama alikwenda kwa shoga ake.[emoji28][emoji28]hamadi tukakuta chakula [emoji4][emoji4]
Tukakaribishwa chakula mama akakataa ikaja zamu yangu kukaribishwa[emoji2296][emoji2296][emoji2296]Mama alinikata jicho takatifu nikahisi kizungu zungu[emoji1][emoji1]
Cheka mkuu..huyo ndo mama yangu sasa..alikuwa akikuamulia unaweza jikuta unanena kwa lugha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu wangu wee nimecheka hadi baaas, afu kwa sauti hadi watu wananshangaa. Lol
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kabisaaahCheka mkuu..huyo ndo mama yangu sasa..alikuwa akikuamulia unaweza jikuta unanena kwa lugha.