Leo nimevikumbuka vifinyo vya mama jamani

Leo nimevikumbuka vifinyo vya mama jamani

Afu wewe ndio maana ulikuwa unafinywa!...emergency inakuwepogo lakini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka sana jmni
 
Hilo jina la utani la Mbowe. Abuse imekuwa utamaduni wetu. Mwanamke asipopigwa anaona hapendwi. Mtoto akipigwa anaona alinyooshwa sawa. Abuse ikishakuwa utamaduni, inaonekana kuwa kitu cha kawaida.
Basi wewe ni mkorofi.

Au utaniambia tena mkorofi ni mbunge wenu😏😏

Tuache na utamaduni wetu we rudi nchini mwako
 
[emoji28][emoji28][emoji28]nimejikuta nacheka kifala sana. Aki tena.

Nakumbuka kuna siku nilimuomba mama hela ya daftari enzi hizooo[emoji28][emoji28]niko darasa la tatu akaniambia nitakupa pesa ya daftari kesho nenda shule hivyo hivyo[emoji17][emoji17] nikamtegea katoka nje hapo niko na ufagio wangu na kidumu cha maji[emoji2957][emoji2957] si nikamuibia hela bhna nikaenda kununua daftari[emoji38][emoji38] mbona shughuli niliipata mimi jamani[emoji23][emoji23]

Yule mwanamke anajua kufinya jaman kha[emoji1787][emoji1787] nilifinywa mimi..[emoji1][emoji1][emoji1]mpka nikahisi kutapika damu..halafu alikuwa ananifinya huku anacheka unaweza kujua unang’atwa na siafu[emoji28][emoji28]

Nakumbuka aliniambia ninakupa kipondo kwa sababu umeiba na sio kwa sababu umenunua daftari.

Ama kweli mtoto usimnyime adhabu.[emoji28][emoji23]vile vifinyo vilinirudisha kwenye mstari wallah.[emoji23][emoji23]

Sijui hata imekuwaje leo kukumbuka mapigo konki ya mama Chakorii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi kuna siku tulitoka na mama alikwenda kwa shoga ake.[emoji28][emoji28]hamadi tukakuta chakula [emoji4][emoji4]
Tukakaribishwa chakula mama akakataa ikaja zamu yangu kukaribishwa[emoji2296][emoji2296][emoji2296]Mama alinikata jicho takatifu nikahisi kizungu zungu[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu wangu wee nimecheka hadi baaas, afu kwa sauti hadi watu wananshangaa. Lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu wangu wee nimecheka hadi baaas, afu kwa sauti hadi watu wananshangaa. Lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Cheka mkuu..huyo ndo mama yangu sasa..alikuwa akikuamulia unaweza jikuta unanena kwa lugha.
 
Back
Top Bottom