Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu huruma yangu huwezi kuipata kabisa.thanks🥂
Herufi ndogo lakin tone yake sio poa
Pole mkuu, ulikuwa abused?Hivi kwa nini watu wengi tuliokuwa abused na wazazi wetu huwa tunafurahia hali hiyo baadae?
Pole mkuu, ulikuwa abused?
Mimi nimeona wale waliokuwa wakiadhibiwa. Waliokuwa abused sijawaonaUkitaka kuelewa michango ya watu, soma mada kuanzia comment ya kwanza hadi mwisho.
Mimi nimeona wale waliokuwa wakiadhibiwa. Waliokuwa abused sijawaona
Kwenda hukoMambo mengine unaweza kujielimisha mwenyewe kwa kusoma. Japo abuse ni neno la Kiingereza, Google Translate pia ina Kiswahili. Ukijiongeza kidogo utajua maana ya neno abuse na aina mbalimbali za abuse. Ukichukuwa dk 2 kujielimisha hautajaza hapa comments.
Mtoto usimnyime mapigo.Kuna wanawake kule kaskazini eti wasipopigwa basi hawapendwi. Kuna mmoja hapa anasema alikuwa anapigwa mpaka mwiko unavunjika! Halafu anachekelea hiyo abuse. This is pure child abuse ambayo inatakiwa kukemewa na wala siyo kuchekewa na kupendwa.
Anazingua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona umem’badilikia tena[emoji23][emoji23]
Kwenda huko
Umezoea kutafuniwa:
Abuse: Cruel and violent treatment of a person or animal.
Example; "A black eye and other signs of physical abuse"
Treat with cruelty or violence, especially regularly or repeatedly.
"riders who abuse their horses should be prosecuted"
Types of child abuse
There are 4 types of child abuse:
Child abuse can be a single incident or several incidents that take place over time.
- physical
- sexual
- emotional
- neglect.
Types of child abuse.
Ila mwamba wewe ni mtata sana.