Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah unachoangali ni nini hicho kwenye laptop yako ambacho kinakula bundle? Usikute una browse kwenye websites tu na forums kama hivi.Tigo is the best, especially kama unakaa au shughuli zako ni mjini. 4G uhakika kwa miji mingi haoa Tz na bando hawaibi kivile, me najiunga 4GB kwa week kwa elfu 5 naangalia kila kitu na laptop yangu iko connected 24/7 na week namaliza vizuri kabisa
Tigo wanakuwaga wakweli wakishapoteza wateja kwa wingi..Ni mbinu ya kuwarubuni tu wakishawakamata vya kutosha nakupa miezi miwili tu utakuja kusimulia hapa.