Leo nimevunja rasmi line ya Halotel

Leo nimevunja rasmi line ya Halotel

Kufa kufaana.

Mkuu mimi natuamia royal ya elf 10 kwa mwezi.
GB 12, Dk 1000 mitandao yote Na SMS 500, vyote kwa mwezi kwa hio buku 10.
View attachment 1469768

ILA CHA KUSHANGAZA SASA

Week ya pili hii gb 12 tangu ziishe lakini natumia internet nitakavyo, Nachezea youtube, insta na kudownload movie mpaka nachoka vyote hivyo kwa MB 0 ikiwemo hiki nilicho andika na ku upload hapa.[emoji116]
View attachment 1469796

Pili Wananiambia napata Dk 1000 kwa mwezi matokeo yake wamenipa dk Zaidi ya elf 80(80,000)kwa mwezi mitandao yote,

Screeshoot ya kifurushi cha week tatu zilizopita ambacho bado natumia mpaka leo mda huo nikiwa na Dk zaidi ya elf 84[emoji116]View attachment 1469799
Washawahi nipa dk laki moja pia.

Internet nayo ipo fasta kupita kawaida.

Sijui wamenichunuku nini hawa, au ndio nyie mkinyongwa sisi tunainuliwa.

Siku wakinigeuzia kibao nitaisoma namba..

Ila Hapa najua nimeharibu, kuna wachawi humu wapo tayari wakanishtaki.
Kiongozi hii unajiungaje mbona kwangu inaniletea tofauti kabisa!?
 
Mimi nina sim cards zote for data usage nina Sim card moja pia amongst nime select kama ndio namba yangu officially ila kwenye swala la data sijawahi na sitakuja kulalamika sijui nimeibiwa hapana kwa kweli unless kampuni ingekuwa moja ninachokifanya kampuni ikianza ujinga natoa chip yake kimya kimya bila hata kulalamika kwa customer care natia kwenye wallet naweka nyingine natumia the same wakizingua natoa pia, Yani Hela ya bundle yangu bado mnitese as if mko wenyewe dawa ni wakijisahau ni kuwaweka tu pembeni mana kuna watu wako paid kucheki coverage na service ziko well delivered sasa kama wanalala mimi sio jukumu langu kuwaamsha, providers ni wengi sana
Nitakosa tu options kama nipo eneo ambalo coverage ya providers wengine hakuna au haiko stable kama nikiwa off city ila kama niko Mijini basi nikuchange tu chip
mkuu upo kama mm ila kinacho ni boa ni simu yangu ni single line na sipend kutembea na simu mbili 🤣🤣🤣
 
mkuu upo kama mm ila kinacho ni boa ni simu yangu ni single line na sipend kutembea na simu mbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu tafuta ka nokia ka tochi weka line official yakuwasiliana afu tembea na smartphone ambayo sasa ndo una change chip kutokana na service mimi sijawahi kurely on smartphone kama ndio First simu yangu mara nyingi tochi ndio Simu yangu essential smartphone inabaki for internet tu
 
Wez tuu..program zao wameseti mb300..ukijiunga wanakutumia msg ya ki electronik umeungwa gb1...

Wanacheza na code tuu wez wakubwa
 
Back
Top Bottom