Hahahah unachoangali ni nini hicho kwenye laptop yako ambacho kinakula bundle? Usikute una browse kwenye websites tu na forums kama hivi.Tigo is the best, especially kama unakaa au shughuli zako ni mjini. 4G uhakika kwa miji mingi haoa Tz na bando hawaibi kivile, me najiunga 4GB kwa week kwa elfu 5 naangalia kila kitu na laptop yangu iko connected 24/7 na week namaliza vizuri kabisa
Ila katika wote Zantel pekee ndio sio muhuni! Try them utakuja kusimuliaKila mtandao una matatizo yake tena makubwa, unaweza furahia spidi ya internet ila vifurushi vyake ni gharama, unaweza furahia gharama ni ndogo ila spidi ya kobe, na kwenye uhuni wote ni wahuni
Hamna u poa wowote huko, baada ya 3.5GB za mwanzo ambazo ni unlimited speed 4G utashuhudia poromoko la speed ambalo halijawahi tokea Afrika mashariki na kati. Wanakunyongea kwenye 200kB/sec for the rest of 8.5GB!Mitandao yote iko hivyo, all areshitholes! Zantel nayo kama hiyo unayoilalamikia! Hakuna mahali penye unafuu. Jaribu Royal ya Halotel. Unapata dakika 1000 mitandao yote, GB12, SMS unlimited , all for 30 days. Inaonekana kuwa poa kidogo.
Hongera sana mkuu, kuna shida kwenye system. Code hazijakaa sawa kwa batch yenye line zenu. Siku maKufa kufaana...
Mkuu mimi natuamia royal ya elf 10 kwa mwezi..
GB 12, Dk 1000 mitandao yote Na SMS 500, vyote kwa mwezi kwa hio buku 10..
ILA CHA KUSHANGAZA SASA,
Week ya pili hii gb 12 tangu ziishe lakini natumia internet nitakavyo, Nachezea youtube, insta na kudownload movie mpaka nachoka vyote hivyo kwa MB 0 ikiwemo hiki nilicho andika na ku upload hapa.
Pili Wananiambia napata Dk 1000 kwa mwezi matokeo yake wamenipa dk Elf 50(50,000)kwa mwezi mitandao yote, Mwezi uliopita walinipa dk 80,000.
Sijui wamenichunuku nini hawa, au ndio nyie mkinyongwa sisi tunainuliwa...View attachment 1469529Siku wakinigeuzia kibao nitaisoma namba
labda kwako...mm bundle langu naona huwa linaenda kawaida tuKama kuna mtandao wezi wa bundle za internet basi halotel ni kiboko. Unaweza jiunga kifurushi cha GB kadhaa usiingie youtube, wala instagram uingie jamiifoorumskwa masaa matatu ushangae kifurushi kimeisha.
Tena hapa nilipo mtandao wao uko slow kudownload mb 20 tu unaweza chukua nusu saa. Ni bora nibaki zanu voda japo nao wanazingua ila afadahri nibaki voda kuliko awa wezi
Kuna jamaa yangu anatumia hallotel yeye ikibakia siku moja kabla ya kuisha anajiunga upya hivyo balance yote inakuwa accumulated kwenye bundle mpya.Kufa kufaana...
Mkuu mimi natuamia royal ya elf 10 kwa mwezi..
GB 12, Dk 1000 mitandao yote Na SMS 500, vyote kwa mwezi kwa hio buku 10..
ILA CHA KUSHANGAZA SASA,
Week ya pili hii gb 12 tangu ziishe lakini natumia internet nitakavyo, Nachezea youtube, insta na kudownload movie mpaka nachoka vyote hivyo kwa MB 0 ikiwemo hiki nilicho andika na ku upload hapa.
Pili Wananiambia napata Dk 1000 kwa mwezi matokeo yake wamenipa dk Elf 50(50,000)kwa mwezi mitandao yote, Mwezi uliopita walinipa dk 80,000.
Sijui wamenichunuku nini hawa, au ndio nyie mkinyongwa sisi tunainuliwa...View attachment 1469529Siku wakinigeuzia kibao nitaisoma namba
Kufa kufaana.
Mkuu mimi natuamia royal ya elf 10 kwa mwezi.
GB 12, Dk 1000 mitandao yote Na SMS 500, vyote kwa mwezi kwa hio buku 10.
ILA CHA KUSHANGAZA SASA
Week ya pili hii gb 12 tangu ziishe lakini natumia internet nitakavyo, Nachezea youtube, insta na kudownload movie mpaka nachoka vyote hivyo kwa MB 0 ikiwemo hiki nilicho andika na ku upload hapa.
Pili Wananiambia napata Dk 1000 kwa mwezi matokeo yake wamenipa dk Elf 50(50,000)kwa mwezi mitandao yote, Mwezi uliopita walinipa dk 80,000, wakaja kunipa tena dk laki moja.
Sijui wamenichunuku nini hawa, au ndio nyie mkinyongwa sisi tunainuliwa.
View attachment 1469529
Siku wakinigeuzia kibao nitaisoma namba
Una stress tu za maishaKama kuna mtandao wezi wa bundle za internet basi halotel ni kiboko. Unaweza jiunga kifurushi cha GB kadhaa usiingie YouTube wala Instagram, uingie JamiiForums kwa masaa matatu ushangae kifurushi kimeisha.
Tena hapa nilipo mtandao wao uko slow kudownload mb 20 tu unaweza chukua nusu saa. Ni bora nibaki zanu Voda japo nao wanazingua ila afadahLi nibaki Voda kuliko hawa wezi.
Dah,Kufa kufaana.
Mkuu mimi natuamia royal ya elf 10 kwa mwezi.
GB 12, Dk 1000 mitandao yote Na SMS 500, vyote kwa mwezi kwa hio buku 10.
ILA CHA KUSHANGAZA SASA
Week ya pili hii gb 12 tangu ziishe lakini natumia internet nitakavyo, Nachezea youtube, insta na kudownload movie mpaka nachoka vyote hivyo kwa MB 0 ikiwemo hiki nilicho andika na ku upload hapa.
Pili Wananiambia napata Dk 1000 kwa mwezi matokeo yake wamenipa dk Elf 50(50,000)kwa mwezi mitandao yote, Mwezi uliopita walinipa dk 80,000, wakaja kunipa tena dk laki moja.
Sijui wamenichunuku nini hawa, au ndio nyie mkinyongwa sisi tunainuliwa.
View attachment 1469529
Siku wakinigeuzia kibao nitaisoma namba
Acha ujuaji mwingi..Una stress tu za maisha
Jambo hilo nalo ni lakufungulia thread?
Angalia ubora wa simu yako kwanza,kuna apps zinakula internet hata kama umezima data kama simu lako feki.Angalia settings
itakuwa system zao zina shida.Kufa kufaana.