Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Magufuli kweli ni nyoko.
Aliwaondoa kabisa kwenye ramani hawa jamaa. Jamaal na Dioniz Malinzi ambao ndio walikuwa wamiliki wa kampuni ya clearing and forward iitwayo Cargo star.
Walitamba enzi hizo kabla ya Rais Magufuli kufuta na kufungia kampuni nyingi za clearing & forward.
Tangu wakati huo hawa jamaa hawasikiki tena. Sijiu kama bado wapo kwenye ramani.