Leo nimewaza sana ni kama inachekesha ila inachekesha kwa kweli

Leo nimewaza sana ni kama inachekesha ila inachekesha kwa kweli

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nimekumbuka tu kibiti na Tanga alafu nikapata kuwaza mfano Nairob baada ya kujifunza kuwa na vitengo mbali mbali ambavyo kama kutakuwa na tukio mfano ugaidi,mabomu hatari,cyber attack,upelelezi wa kuchunguza uchumi,usalama na n.k

Sasa huku kwetu yani aliyesema tuhamie burundi anakwenda na boda boda,Walibaki kidogo usalama wavae jezi za CCM tuthibitishe kuwa hata Lissu usalama wa nchi mnaona ni CCM.
 
Hao tiesiesi leo wapo bize kuazima spika za kukemeaa mapepo kuweka Kishindo cha mbogamboga kesho
 
Back
Top Bottom