Leo Nina furaha sana, hata kuhisi nimepitiliza

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,429
Reaction score
4,125
Siwezi jizuia,nimefurahi Sana Leo,vipo vitu vingi humpa mwanamke furaha ,ni vidogo Sana,kama dressing table &room kushine vitu anavyopenda,kupata vitu Kwa wakati,kujibiwa maswali Kwa wakati lakini kumpata mwenza anayejali na kucare.

Oooh tuachane na hayo,furaha yangu Leo ni kuchaguliwa na majirani zangu kama dada mwema na wa mfano kwenye mtaa, kuanzia kutokuwa na skendo na makandokando,jambo hili limethibitishwa na mama mjumbe na timu ya wanawake wowote wanaozunguka I'm so happy kwakweli.

My young ladies tunaweza kupiga hatua kwenye safari ya maisha bila kudanga ,kutegemea pesa ya mwanaume.usiku mwema
 
Oooh tuachane na hayo,furaha yangu Leo ni kuchaguliwa na majirani zangu kama dada mwema na wa mfano kwenye mtaa, kuanzia kutokuwa na skendo na makandokando,
Ni kweli wewe ni mwema na huna makandokando?, au ni kwamba umejitahidi kuficha mambo yako kiasi kwamba mtaani kwako wameshindwa kujua?

Mwanamke kuishi bila kumtegemea Mwanaume ni jambo gumu sana, ila kuishi bila kudanga inawezekana.

HONGERA kwa kuwa mwema.
 
Hongera sana binti. Kaa mbali na wahuni
 
Siwezi jizuia,nimefurahi Sana Leo,vipo vitu vingi humpa mwanamke furaha ,ni vidogo Sana,kama dressing table &room kushine vitu anavyopenda,kupata vitu Kwa wakati,kujibiwa maswali Kwa wakati lakini kumpata mwenza anayejali na kucare.

Oooh tuachane na hayo,furaha yangu Leo ni kuchaguliwa na majirani zangu kama dada mwema na wa mfano kwenye mtaa, kuanzia kutokuwa na skendo na makandokando,jambo hili limethibitishwa na mama mjumbe na timu ya wanawake wowote wanaozunguka I'm so happy kwakweli.

My young ladies tunaweza kupiga hatua kwenye safari ya maisha bila kudanga ,kutegemea pesa ya mwanaume.usiku mwema
Wangejua umeleta skendo huku JF wangefuta huo uteuzi.
Hizi PhD fake zina matangazo Sana.
 
Hii wiki mayala wameamua...Aisee
A bro who insult women always without any reason
Screenshot_20260909-180938~2.jpg
 
Siwezi jizuia,nimefurahi Sana Leo,vipo vitu vingi humpa mwanamke furaha ,ni vidogo Sana,kama dressing table &room kushine vitu anavyopenda,kupata vitu Kwa wakati,kujibiwa maswali Kwa wakati lakini kumpata mwenza anayejali na kucare.

Oooh tuachane na hayo,furaha yangu Leo ni kuchaguliwa na majirani zangu kama dada mwema na wa mfano kwenye mtaa, kuanzia kutokuwa na skendo na makandokando,jambo hili limethibitishwa na mama mjumbe na timu ya wanawake wowote wanaozunguka I'm so happy kwakweli.

My young ladies tunaweza kupiga hatua kwenye safari ya maisha bila kudanga ,kutegemea pesa ya mwanaume.usiku mwema
Kisaikolojia ukiona mtu anajisifia ujue hana lolote ni mbambaishaji tu.
 
Siwezi jizuia,nimefurahi Sana Leo,vipo vitu vingi humpa mwanamke furaha ,ni vidogo Sana,kama dressing table &room kushine vitu anavyopenda,kupata vitu Kwa wakati,kujibiwa maswali Kwa wakati lakini kumpata mwenza anayejali na kucare.

Oooh tuachane na hayo,furaha yangu Leo ni kuchaguliwa na majirani zangu kama dada mwema na wa mfano kwenye mtaa, kuanzia kutokuwa na skendo na makandokando,jambo hili limethibitishwa na mama mjumbe na timu ya wanawake wowote wanaozunguka I'm so happy kwakweli.

My young ladies tunaweza kupiga hatua kwenye safari ya maisha bila kudanga ,kutegemea pesa ya mwanaume.usiku mwema
Wewe wanakuita mlokole ? Lakini kinachokusaidia unadanga kwa siri
 
Back
Top Bottom