Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Ni kweli wewe ni mwema na huna makandokando?, au ni kwamba umejitahidi kuficha mambo yako kiasi kwamba mtaani kwako wameshindwa kujua?Oooh tuachane na hayo,furaha yangu Leo ni kuchaguliwa na majirani zangu kama dada mwema na wa mfano kwenye mtaa, kuanzia kutokuwa na skendo na makandokando,
Wangejua umeleta skendo huku JF wangefuta huo uteuzi.Siwezi jizuia,nimefurahi Sana Leo,vipo vitu vingi humpa mwanamke furaha ,ni vidogo Sana,kama dressing table &room kushine vitu anavyopenda,kupata vitu Kwa wakati,kujibiwa maswali Kwa wakati lakini kumpata mwenza anayejali na kucare.
Oooh tuachane na hayo,furaha yangu Leo ni kuchaguliwa na majirani zangu kama dada mwema na wa mfano kwenye mtaa, kuanzia kutokuwa na skendo na makandokando,jambo hili limethibitishwa na mama mjumbe na timu ya wanawake wowote wanaozunguka I'm so happy kwakweli.
My young ladies tunaweza kupiga hatua kwenye safari ya maisha bila kudanga ,kutegemea pesa ya mwanaume.usiku mwema
A bro who insult women always without any reasonHii wiki mayala wameamua...Aisee
Kisaikolojia ukiona mtu anajisifia ujue hana lolote ni mbambaishaji tu.Siwezi jizuia,nimefurahi Sana Leo,vipo vitu vingi humpa mwanamke furaha ,ni vidogo Sana,kama dressing table &room kushine vitu anavyopenda,kupata vitu Kwa wakati,kujibiwa maswali Kwa wakati lakini kumpata mwenza anayejali na kucare.
Oooh tuachane na hayo,furaha yangu Leo ni kuchaguliwa na majirani zangu kama dada mwema na wa mfano kwenye mtaa, kuanzia kutokuwa na skendo na makandokando,jambo hili limethibitishwa na mama mjumbe na timu ya wanawake wowote wanaozunguka I'm so happy kwakweli.
My young ladies tunaweza kupiga hatua kwenye safari ya maisha bila kudanga ,kutegemea pesa ya mwanaume.usiku mwema
Wewe wanakuita mlokole ? Lakini kinachokusaidia unadanga kwa siriSiwezi jizuia,nimefurahi Sana Leo,vipo vitu vingi humpa mwanamke furaha ,ni vidogo Sana,kama dressing table &room kushine vitu anavyopenda,kupata vitu Kwa wakati,kujibiwa maswali Kwa wakati lakini kumpata mwenza anayejali na kucare.