Leo nina furaha sana usiku huu

Mapenzi wewe. [emoji23][emoji23]
Upuuzi tu, sio kupigana na mwenzio, hayo si mapenz ni upopoma,

Inabidi uwe na sababu ya kupigan wa ajili ya mtu, kitendo cha kukusaliti na kiwa na mwingine hiyo ni sababu tosha ya kupotezea, huwez kupoteza nguv jasho lako kwa mpuuzi..
 
Na unaona wote mav.mav tu
Hiyo ni kawaida..

Zitatumwa meseji mbili za watu tofauti 1 ya unaemzimikia ya 2 mtu usiempenda
1. Hi
2. Vipi hali yako kipenzi changu, umeamkaje malikia wangu.

Cha ajabu meseji ya pili sababu humpendi basi unaona kero japo ndio kimahaba zaidi na ya kwana utaiona lulu kinoma..

Mapenzi bwana[emoji23] [emoji23]
 
Wewe bila tabu, nafsi inakuridhia, sasa je utanipenda mie mbilikimo wa kongo na kitambi changu kama fuko la taka plus kidudu cha lemutuz, mbaya zaidi sina hela..

[emoji85] [emoji85] [emoji17] [emoji17] [emoji85] [emoji85]
Vyote hivyo wwe tu na pesa huna,,nenda tu kwa lincolin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…