makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hahaa.. Ila ms lincolin kaniwahi bhana, tunafanyaje hapo[emoji85] [emoji85]Makaveli unanifaa kabisa,mim na wewe tunaendana hadi moyoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa.. Ila ms lincolin kaniwahi bhana, tunafanyaje hapo[emoji85] [emoji85]Makaveli unanifaa kabisa,mim na wewe tunaendana hadi moyoo
Na unaona wote mav.mav tuTeh teh teh...
Pale nafsi inapopenda. [emoji23] [emoji23] haisikii la muadhini wala mnadi swala
Hata wasema shoga sijaliiiTeh teh teh...
Pale nafsi inapopenda. [emoji23] [emoji23] haisikii la muadhini wala mnadi swala
Unanitaka mimi tuSitaki tena..
Umeona(on brother k's voice[emoji23] [emoji23])Huko nenda salama mama
Tena akae mbaliHahaa.. Ila ms lincolin kaniwahi bhana, tunafanyaje hapo[emoji85] [emoji85]
Sikutishi kula na watu vizuriiUnantisha ujue
Oii niachie usiniharibie siki yangu ya SabatoUnanitaka mimi tu
Achana nae kwanza ni mwanaume huyo ,huoni mi nakuokoaHahaa.. Ila ms lincolin kaniwahi bhana, tunafanyaje hapo[emoji85] [emoji85]
Hata apumuliwe wapii nataka tuNasikia jamaa anapumuliwa kisogoni.
Upuuzi tu, sio kupigana na mwenzio, hayo si mapenz ni upopoma,Mapenzi wewe. [emoji23][emoji23]
Wanaopumuliwa mashine huwa haisimami, anachoweza kukusaidia ni kukupenda tu ila suala la kitandani itabidi akodishe mashine.Hata apumuliwe wapii nataka tu
Hiyo ni kawaida..Na unaona wote mav.mav tu
Mama Sabrina ana mkosiiiNasikia jamaa anapumuliwa kisogoni.
Mradi nafsi inapata kila unachotaka..Hata wasema shoga sijaliii
Wewe bila tabu, nafsi inakuridhia, sasa je utanipenda mie mbilikimo wa kongo na kitambi changu kama fuko la taka plus kidudu cha lemutuz, mbaya zaidi sina hela..Unanitaka mimi tu
Sijalii mimiWanaopumuliwa mashine huwa haisimami, anachoweza kukusaidia ni kukupenda tu ila suala la kitandani itabidi akodishe mashine.
Vyote hivyo wwe tu na pesa huna,,nenda tu kwa lincolinWewe bila tabu, nafsi inakuridhia, sasa je utanipenda mie mbilikimo wa kongo na kitambi changu kama fuko la taka plus kidudu cha lemutuz, mbaya zaidi sina hela..
[emoji85] [emoji85] [emoji17] [emoji17] [emoji85] [emoji85]