Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #621
Siku hizi umepoteaa weweHongera Sana kwa KUFOLOWIWA na Dr Ulimwengu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi umepoteaa weweHongera Sana kwa KUFOLOWIWA na Dr Ulimwengu.
Baada ya kunilala ndo hunitaki kweli Makaveli? Au ulikuta bwawa? Naenda kunywa sumuSitaki tena..
Wao ndio wana mkosii hata docta hajawah kuwasalimiaMama Sabrina ana mkosiii
Docta kaniandikia gazeti kabisaHiyo ni kawaida..
Zitatumwa meseji mbili za watu tofauti 1 ya unaemzimikia ya 2 mtu usiempenda
1. Hi
2. Vipi hali yako kipenzi changu, umeamkaje malikia wangu.
Cha ajabu meseji ya pili sababu humpendi basi unaona kero japo ndio kimahaba zaidi na ya kwana utaiona lulu kinoma..
Mapenzi bwana[emoji23] [emoji23]
Mwingine fakeMama Sabrina katika ubora wako
Nimekupenda bure ms. Lincoln si mwanamke tumevamiwa anatoka nduki, tukivamiwa anakunja ngumi, wakija waduwanzi kuniyeyusha ambao hawampwelepweti anawashushia kibano mie huku nakunywa juisTena akae mbali
Wengine tuliolewa na kina Maugo ngumi mkononi
Nipo Porini Minjingu nachoma mkaa,network mpaka nije Citisenta.Siku hizi umepoteaa wewe
Usije kumchezeshea makonde bure[emoji23] [emoji23]Oii niachie usiniharibie siki yangu ya Sabato
Kwa kweli, life is too short ,furahia mwayaMwingine fake
Hee [emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe.. Toba yarabi[emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Achana nae kwanza ni mwanaume huyo ,huoni mi nakuokoa
Kasema anampenda hivyo hivyo tuu.Nasikia jamaa anapumuliwa kisogoni.
Mwanaume huyo wewe shauri lakoNimekupenda bure ms. Lincoln si mwanamke tumevamiwa anatoka nduki, tukivamiwa anakunja ngumi, wakija waduwanzi kuniyeyusha ambao hawampwelepweti anawashushia kibano mie huku nakunywa juis
Tukikerana hakuna kujibishana, tunavaa gloves tunapigana wee, atakaeshindwa ananyoosha mikono juu, msamaha ndio ushapita, tunakumbatiana, mate kinafata kitombo tuu.
Umenikosha sna, hebu nipe hicho kiberiti niwashe bangi yangu mie, we chukua hii mia 300 kanunue ugoro[emoji23] [emoji23]
Basi naendelea kukaa.Asikutishie ana Wivu.
Ahaaa sawaNipo Porini Minjingu nachoma mkaa,network mpaka nije Citisenta.
Nipo mie, sitaki stress[emoji23] [emoji23]Vyote hivyo wwe tu na pesa huna,,nenda tu kwa lincolin
Sawa mamaSikutishi kula na watu vizurii
Watu wakiona nafurahi hivii hawapendiKwa kweli, life is too short ,furahia mwaya
Nakuapia tena we huoni anapenda kupiganaHee [emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe.. Toba yarabi[emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji85] [emoji86] [emoji85] We mwali we muogope mungu!!Baada ya kunilala ndo hunitaki kweli Makaveli? Au ulikuta bwawa? Naenda kunywa sumu