makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hahaa.. Bora ya wewe, mume ukose na kupigwa upigwe.. [emoji23]Kupigana hapana ni ujinga. Kwanza mi sinaga nguvu naanzaje kupigana. Nitalia zangu napita pembeni story inaishia hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa.. Bora ya wewe, mume ukose na kupigwa upigwe.. [emoji23]Kupigana hapana ni ujinga. Kwanza mi sinaga nguvu naanzaje kupigana. Nitalia zangu napita pembeni story inaishia hapo
Chezea mapenz wwSisi la muadhini wala la muhubiri
Ahahahhaahha mi nimekubonyeza subiri aje uone atakavyojiteteaAah!! Kupigana kawaida tu, mabondia kibao wanapigana. Mtoto wa muhamad ali anapigana hatar halaf ni kitoko huyo, kimwasu ile mbaya. Sipo majuu tuu ninget... Mba yule.
Naona hili.Wana mikosi mikubwa mikubwaa
AhahahahaahahHahaa.. Bora ya wewe, mume ukose na kupigwa upigwe.. [emoji23]
Wanisingizia bibie wwHahahahahaaa
Mkaka mzuri vile hata asikupe mambo si mkosi huoNaona hili.
Haaaah Asante,cutest lady on the Earth after my mother,Its u mama sabrinaAsanye priceless ,haya ndio manenp sasa we utakuwa mzuri hakika
Lakin ndio umesema hutaki sie makapuku, bora uniache nijiishie maisha yangu tuu.Baki kwangu tu
Hahahahaaa.. siwez kosa vyote. Nachagua kimoja cha kuachia. Bwana mbebe ila sura yake aiache salamaHahaa.. Bora ya wewe, mume ukose na kupigwa upigwe.. [emoji23]
HahahaaaAhahahhaahha mi nimekubonyeza subiri aje uone atakavyojitetea
Teh teh teh.. Nasaka ushahidi tu.Ahahahhaahha mi nimekubonyeza subiri aje uone atakavyojitetea
Wewee usiniambiee ,una maneno matamu hivyoo nimepagawa yaan mnanipa raha nyie watu nna furahaaaHaaaah Asante,cutest lady on the Earth after my mother,Its u mama sabrina
Njoo whatsapp nikurushie picha uamini tena anafanan na baunsa wa diamondTeh teh teh.. Nasaka ushahidi tu.
Ila ndugu zetu hawa mjini tunawajua wenyewe, siku hizi machoko wengi ndio masculine, mie nataka niache mazoezi nifuge bonge la kitambi[emoji23] [emoji23]Mkaka mzuri vile hata asikupe mambo si mkosi huo
Hahaa.. Sasa utaipataje hapo.Hahahahaaa.. siwez kosa vyote. Nachagua kimoja cha kuachia. Bwana mbebe ila sura yake aiache salama
Mayo wee, [emoji86] [emoji86] nakuja[emoji125] [emoji125]Njoo whatsapp nikurushie picha uamini tena anafanan na baunsa wa diamond
[emoji257] [emoji322] [emoji8] goes to you[emoji4]Wewee usiniambiee ,una maneno matamu hivyoo nimepagawa yaan mnanipa raha nyie watu nna furahaaa