Leo nina furaha sana usiku huu

Leo nina furaha sana usiku huu

kwahiyo upeo wako wa kufikiri ndio umeishia hapa mpaka ukauliza swali hili la kindagaten? Tatzo zio kulipia Tatzo ni kuwapa watu kazi ya kufikiri post zenye kiwango cha E
Wanaomiliki hawalalamiki wewe sasa hata huhusiki unachongaaa babu,,kama vipi tupotezee tu hatuna mpango na wewe
 
Mwifwa mru kanirushia pic ana vinywele vipilipili kwapan hivi alidhan ntajisikia vizuri ,ukijumlisha ana sura kali ya kunyweshea uji mtoto ,aliniharibia sana siki yangu ya jana huwezi amini sipendi kuona makwapa ya watu hasa yenye vipilipili
Mi kwapa langu halina vipilipili VP utalipenda?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hongera chimamy kama nakuona nikikumbuka mwanzo ulivyomuelezea na wanaume kupovuka
 
Yule mkaka nnaemkubali ,nnaempenda (hapa sasa kila mmoja atatoka na wazo lake mtajijua wenyewe maana binadam mna hila nyie)haya sasa nalikubali sana hili li mkaka lizuri zuri yaan unaweza mtafunia na ugali kabisa,huyu kaka anavutia ana mvuto kiukweli kwanin nibanie nafsi maisha yenyewe ndio haya haya bana,
Hebu muangalie kwanzaView attachment 685281View attachment 685282View attachment 685283View attachment 685284 hapa sasaa baada ya kuwa nachart nae dm kidogo hatimae kaamua kabisa kunifollow kabisa ,,hivi unajua raha ya mtu unaempenda akakukubali .Leo nalala mwololo navyopenda wakaka wazuri roho yangu safi kabisa leo,,kuna mtu alikua kaniudhi toka jana kanitumia picha yupo kifua wazi na sijamuomba picha hiyo picha ikanitia kichefuchefu kweli aliinua kwapa yaan ana vipilipili kwapani nilichukia sana nikalifuta na lipicha lake hajui tu natamani hata kumblock ,wakaka rusheni picha miiwa mmevaa mashatu au tisheti wengine hampendezi kukaa kifua wazi kabisa na hivyo vipilipili vyenu sasa.
Docta Ulimwengu popote ulipo leo umenipa rahaa na soon tunaonana live sipàti picha siku hiyo ,furaha ni dawa, jipe furaha usisubiri kupewa na watu ,fata moyo wako unavyopenda
kapeace shemela wako kanifollow uhuuuuuuuuuuuuh huyu kaka hata kama ana kibamia sura yake na mwili wake tu utakojoa ,,doktaree mkalee

Kama unajijua huyu kaka anakuchefua kwa sababu tu humfikii hata kucha usicomment huu uzi tafadhali,maana wakaka wenye sura kali kali huwa mna comment chafu mnapoona mwanaume mwenzenu kasifiwa,,najua mtaanza tabiri mengi ,tabirini sana kwani nimewapa wangapi bana na hawajanifurahisha kwa chochote eti Evelyn Salt kila mtu anapenda kizuri bana,nna raha leo sijui nna raha nyie niacheni tu leo ,,leo nakojooaa maji kabisaaa yapo njiani kabisa
Ngoja niutunze huu uzi
Siju ya harusi yako na yeye ntakutunza nao
 
Back
Top Bottom