Leo nina furaha sana usiku huu

kwahiyo upeo wako wa kufikiri ndio umeishia hapa mpaka ukauliza swali hili la kindagaten? Tatzo zio kulipia Tatzo ni kuwapa watu kazi ya kufikiri post zenye kiwango cha E
Wanaomiliki hawalalamiki wewe sasa hata huhusiki unachongaaa babu,,kama vipi tupotezee tu hatuna mpango na wewe
 
Mwifwa mru kanirushia pic ana vinywele vipilipili kwapan hivi alidhan ntajisikia vizuri ,ukijumlisha ana sura kali ya kunyweshea uji mtoto ,aliniharibia sana siki yangu ya jana huwezi amini sipendi kuona makwapa ya watu hasa yenye vipilipili
Mi kwapa langu halina vipilipili VP utalipenda?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hongera chimamy kama nakuona nikikumbuka mwanzo ulivyomuelezea na wanaume kupovuka
 
Ngoja niutunze huu uzi
Siju ya harusi yako na yeye ntakutunza nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…