Leo nina furaha sana usiku huu

Kaoa lini kaka watu
Hivi kumbe hata hujui??



Kwa umri huo anaweza akawa bado yuko singo??


Kama akiwa singo kuna wanawake wengi mnoooo washalia sanaaa


Anyways

Mlindie heshima mwanamke mwenzio aseee

Hujifikirii toka mwaka jana unamshona jamaa lakini akawa anarusha rusha??


Mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzke
 
Yote ya nini haya kaaaj[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama mke wake anafatilia hii post, nadhani sasa yupo kwenye chumba cha maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…