Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #721
Ni mme wa mtuHongera ila usije kulialia hapa kuwa kumbe ni mme wa mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mme wa mtuHongera ila usije kulialia hapa kuwa kumbe ni mme wa mtu
TunzaNgoja niutunze huu uzi
Siju ya harusi yako na yeye ntakutunza nao
Ntakuambia pm ukinipa access[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui wapi huko uliharibu
Kwa hiyo unataka ukipeleke kikojoleo kikapopolewe halaf arudi kwa mumewe??Ni mme wa mtu
Arudi tena kapwa mumewe ?Kwa hiyo unataka ukipeleke kikojoleo kikapopolewe halaf arudi kwa mumewe??
Tema mate chini aseeWa nini sasa ashakufa kitambo wewe
Kwa mkeweArudi tena kapwa mumewe ?
[emoji3][emoji3][emoji3] sawa loveNtakuambia pm ukinipa access
Hakuna tatizo nafurahisha moyoKwa mkewe
Kaoa lini kaka watuJamani utaharibu ndoa ya watu wewe!
Sawa bhana akikugegeda na akakuacha naomba unikumbuke katika ufalme wako nikuliwazeHakuna tatizo nafurahisha moyo
Hivi kumbe hata hujui??Kaoa lini kaka watu
Yote ya nini haya kaaaj[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kumbe hata hujui??
Kwa umri huo anaweza akawa bado yuko singo??
Kama akiwa singo kuna wanawake wengi mnoooo washalia sanaaa
Anyways
Mlindie heshima mwanamke mwenzio aseee
Hujifikirii toka mwaka jana unamshona jamaa lakini akawa anarusha rusha??
Mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzke
Mkuu samahaniYote ya nini haya kaaaj[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HajaoaMkuu samahani
Lakini iwaze na familia yake jinsi itakavyoteseka pale atakapoibwaga chini kulifuata penzi lako matata na kumwacha huyo mkewe[emoji86] [emoji86]
Kaoa mbona asee nzani ilikuwa mwaka juzi hiviHajaoa
Hehehehehe sawaKaoa mbona asee nzani ilikuwa mwaka juzi hivi
Uwe tuu na angalau huruma kwa familia yake aseeeHehehehehe sawa