Nipo naandaa sherehe za kumuaga mwanachama wetu wa JF akatuwakilishe huko abroad.Naona leo dokta kaingia dm zake. [emoji23][emoji23]
Ahahahahah sawa nimekuita mno eve atakuwa kalalaNiko nakunywa Heineken hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijui nimechelewa wapi kuona huu uzi
Hata sijali mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
EhehehehheHalafu hongera pia ya kufolliwa back babe
Hahaha kweli uja furaha mkuu. Shushia na bia kadhaa basi kuitimiza furaha yako siku ya leo.Sijali mimi,,kwani mie osama bana mim sio gaidi
What aaaaa hapana aisee huna macho hakuna wa kumfikia wa doctaMbona hamzidi hanihii sasa??
Kwanini ukufwe ilihali dawa ipo?Hata sijali mimi
Hahahahaha sijali walimwengu mieee mim nna furahaa tu sitaki mawazo mgandoHahaha kweli uja furaha mkuu. Shushia na bia kadhaa basi kuitimiza furaha yako siku ya leo.
Mbona huyo simjuiNipo naandaa sherehe za kumuaga mwanachama wetu wa JF akatuwakilishe huko abroad.
Nina imani hatotuangusha kama alivyotuthibitishia.
Baada ya kukwea pipa.
Nitaanza maandalizi tena ya kumtunuku tuzo maridadi kabisa
Unahitajika lindo haraka iwezekanavyoKwanini ukufwe ilihali dawa ipo?
Nimetumia fadisi kidogo, nimemaanisha ni weweMbona huyo simjui
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Unahitajika lindo haraka iwezekanavyo
Humu kwenyewe watu wamepangwa wee sembuse nishangae kwa docta ulimwengu aku miee tena akitaka wala sikatai nguvu za kukataa nazitoa wapi mieKwanini ukufwe ilihali dawa ipo?
We ngoja kuna safari moja nikikalmilisha ntaenda wakilisha taifa usijaliNimetumia fadisi kidogo, nimemaanisha ni wewe
[emoji3] [emoji3] kimbia harak uje..fine itakuhusu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Aliyetoboa siri kuwa nipo huku lazima atanitambua
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Unatakiwa umwambie ukweli sio kwamba unaenda kujilowanisha nguo tu ukionana naye.Humu kwenyewe watu wamepangwa wee sembuse nishangae kwa docta ulimwengu aku miee tena akitaka wala sikatai nguvu za kukataa nazitoa wapi mie
mim sijui kwanini huyo hajawahi nivutia. Labda kwa kuwa nilijua ni shemeji toka mwanzoWhat aaaaa hapana aisee huna macho hakuna wa kumfikia wa docta
Ni mzuri laki kwa docta nope hagusi
Kikubwa ni updates kama anavyofanyaga GuDumeWe ngoja kuna safari moja nikikalmilisha ntaenda wakilisha taifa usijali
Siku nikimuona tu nakojoaa hapo hapoo [emoji23][emoji23]Unatakiwa umwambie ukweli sio kwamba unaenda kujilowanisha nguo tu ukionana naye.
Inna tuulia kidogo basi, leo nimepewa umeneja na Mama Sabrina hapa[emoji3] [emoji3] kimbia harak uje..fine itakuhusu