Leo nina furaha sana usiku huu

Leo nina furaha sana usiku huu

Naona leo dokta kaingia dm zake. [emoji23][emoji23]
Nipo naandaa sherehe za kumuaga mwanachama wetu wa JF akatuwakilishe huko abroad.

Nina imani hatotuangusha kama alivyotuthibitishia.

Baada ya kukwea pipa.

Nitaanza maandalizi tena ya kumtunuku tuzo maridadi kabisa
 
Mbona huyo simjui
 
Unahitajika lindo haraka iwezekanavyo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Aliyetoboa siri kuwa nipo huku lazima atanitambua
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Aliyetoboa siri kuwa nipo huku lazima atanitambua
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji3] [emoji3] kimbia harak uje..fine itakuhusu
 
Humu kwenyewe watu wamepangwa wee sembuse nishangae kwa docta ulimwengu aku miee tena akitaka wala sikatai nguvu za kukataa nazitoa wapi mie
Unatakiwa umwambie ukweli sio kwamba unaenda kujilowanisha nguo tu ukionana naye.
 
Back
Top Bottom