Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Nipo naandaa sherehe za kumuaga mwanachama wetu wa JF akatuwakilishe huko abroad.Naona leo dokta kaingia dm zake. [emoji23][emoji23]
Nina imani hatotuangusha kama alivyotuthibitishia.
Baada ya kukwea pipa.
Nitaanza maandalizi tena ya kumtunuku tuzo maridadi kabisa