Leo nina furaha sana usiku huu

Leo nina furaha sana usiku huu

Kila napotaka anataka nae apite ana matatizo gani huyu
Ana nyota ya mkia kuufata mwili..

Kama kote huko kapita, malizia na hapo tu napo apite roho yake itulie.

Itakuwa unapita pazuri ndio maana hebu igiza kupita kwenye chaka la miiba tuone kama atathubutu kupita..

Wewe kama wenger unapoint wenzio wanakuja kuchukua.. [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom