Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Nile huyo kuku choma....Ule kuku au uliwe?
Wewe mwenzako yupo kitandani na boya mmoja akibadilisha style hadi ya mbuzi kagoma kwenda wewe umekomaa na visim vyako m@m@eeeHabar mabibi na mababu....
Leo siku yangu imeenda vibaya sana, na vile sijawahi experience hili tukio bhasi daah naona dunia imenikalia vbaya leo.
Kufupisha stori ni kuwa kuna manzi angu mmoja tulishawahi kugegedana sana tu sasa toka majuzi nkamcheki kuwa bhana nko mjini nitunuku
Mkuu rudi kule jimboni kwetu, tuna mengi ya kujadili huku hapakufaiNilishawahi kuchukua chumba hotelini nikawahi tena mapema ,tuliongea kila kitu na anajua nimechukua chumba .Duh mara ameshindwa kuja..nikajisemea huyu mtoto kama nimeshawahi kumpata yanini aniumize kichwa . Nikapiga simu kwa backup mara chap kafika .
Aliyezingua asubuhi anipigia leo nakuja ,nikamwambia kwa jibu fupi "poa ". Nikawa napotezea msg zake au calls ,siku nyingine tena katuma msg naomba nisaidie 20,000 nina shida kweli. Nikamwambia nenda kadai hotelini ni zaidi ya hiyo.
Ilishawahi kunitokea mara mbili na nimeshamtumia na nauli shillings 15000/= elfu . Usiombe Ila mmoja nilirudishaga muamala wangu woteHabar mabibi na mababu....
Leo siku yangu imeenda vibaya sana, na vile sijawahi experience hili tukio bhasi daah naona dunia imenikalia vbaya leo.
Kufupisha stori ni kuwa kuna manzi angu mmoja tulishawahi kugegedana sana tu sasa toka majuzi nkamcheki kuwa bhana nko mjini nitunuku
Ww ulifanyaj ulivyokosa papuchi siku ya miadi??!
Wabongo wanajitahidi sana! Bei gani hii?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwamba n ma story ya town tuu hayana ukwel wowoteNile huyo kuku choma....
Ila jf kumejaa waongo, kila anaekuaga na appointment huwa anaenda supermarket kununua juice, matunda na mazaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kila mtu wa kishua humu maskini utajikuta wewe tu 😅Nile huyo kuku choma....
Ila jf kumejaa waongo, kila anaekuaga na appointment huwa anaenda supermarket kununua juice, matunda na mazaga 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
It looks like a revenge. Unachoweza kufanya nenda tanzania exotic, tinder or badooo. Stay safe protect yourself.Habar mabibi na mababu....
Leo siku yangu imeenda vibaya sana, na vile sijawahi experience hili tukio bhasi daah naona dunia imenikalia vbaya leo.
Kufupisha stori ni kuwa kuna manzi angu mmoja tulishawahi kugegedana sana tu sasa toka majuzi nkamcheki kuwa bhana nko mjini nitunuku ulichobarikiwa bas bila hiyana akakubali na kunambia tukutane jumapili, na toka hyo majuzi bhas n mameseji ya kutiana genye tu mpka najikuta
Good hii safi sana.Nilishawahi kuchukua chumba hotelini nikawahi tena mapema ,tuliongea kila kitu na anajua nimechukua chumba .Duh mara ameshindwa kuja..nikajisemea huyu mtoto kama nimeshawahi kumpata yanini aniumize kichwa . Nikapiga simu kwa backup mara chap kafika .
Aliyezingua asubuhi anipigia leo nakuja ,nikamwambia kwa jibu fupi "poa ". Nikawa napotezea msg zake au calls ,siku nyingine tena katuma msg naomba nisaidie 20,000 nina shida kweli. Nikamwambia nenda kadai hotelini ni zaidi ya hiyo.
Siku ya game lazima ununue vitu classic.Nile huyo kuku choma....
Ila jf kumejaa waongo, kila anaekuaga na appointment huwa anaenda supermarket kununua juice, matunda na mazaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hapa hapanifai kweli turudi kwenye maswala ya helaMkuu rudi kule jimboni kwetu, tuna mengi ya kujadili huku hapakufai
It looks like a revenge. Unachoweza kufanya nenda tanzania exotic, tinder or badooo. Stay safe protect yourself.
Njoo nmekubakishia kipajaa hapa...Uko wapi mi nije nimle huyo kuku...
Undava undava tu. Noma sanaNilishawahi kuchukua chumba hotelini nikawahi tena mapema ,tuliongea kila kitu na anajua nimechukua chumba .Duh mara ameshindwa kuja..nikajisemea huyu mtoto kama nimeshawahi kumpata yanini aniumize kichwa . Nikapiga simu kwa backup mara chap kafika .