Leo nina hasira ya kunyimwa Papuchi

Leo nina hasira ya kunyimwa Papuchi

Bro nenda tu bafuni ukachukue sheria mkononi..
 
Pongezi KWA binti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mademu wa Exotic wanajifanya matawi sana na gharama zao.

Halafu wengi hawaweki picha zao, nilishawahi kumkimbia demu Lodge.
Picha aliyoweka Exotic ni kali sana, pisi ya maana kumbe si yeye, nilichokifanya nikamwambia nachukua kinywaji nje, nikapotea mazima.
Ni washenzi sana
 
Pole mkuu.. mm nilikuwa mpole nikajichekua movie hadi nikalala
 
Mnaomba papuchi kishamba sana. Mm akinikubali tu mwanamke huwa mnachukulia km mke wangu. Hapo ilikuwa kumwambia, siku fulani njoo unisaidie kufanya usafi. Akifika story mbili tatu, unashika kiuno. Mwenyewe atajua unataka nn.
Demu anatoka home, anajua anaenda kuliwa kbsa. Ukikutana na mwanamke mwenye msimamo humgongi.
Daaah mkuu km ulikuwepooo yan, leo cjui km ntapata usingiz
 
Nile huyo kuku choma....
Ila jf kumejaa waongo, kila anaekuaga na appointment huwa anaenda supermarket kununua juice, matunda na mazaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sio waongo...unaijua Appointment unaisikia?!?! Kwanza hadi kuipanga hiyo siku lazima.tuwe na uhakika wa hela mfukoni...Huna hela halafu utor Appointment hujipendi!? Kwanza hela inaongeza kujiamini..

So, automatic mazaga ama outing inakuwa tele.
 
si ukute huyo mzee kwa umri huo anasimamisha kwa mwezi mara moja tu, hapo hakuna chochote kinasoma. ndio maana mimi maadamu damu inachemka, huwa nahakikisha namchakata waifu vya kutosha kwasababu najua kuna wakati itafika nitakuwa mzee.

Hahaha kuna wazee hadi 80 wanapiga show show wanasimamia ukucha...Au umesahau Mzee wa GOBA kwa Ndambi alifia kifuani kwa Binti wa 29??
 
Back
Top Bottom