Leo ninamposti Miss JF CARLEEN

Leo ninamposti Miss JF CARLEEN

Ndio.Naona unajitahid kuyafanya maisha mepesi licha ya ugumu wake [emoji16]
Mkuu kuna nyakati za kuwa siriaz, na kuna nyakati za kujiachia.

Katikati ya ujinga huwa ni fursa yangu muhimu kujifunza vitu vipya kwa watu.

Huwa nafurahi ikiwa mimi natania au kusema jambo kwa mzaha then kuna mtu anabeba rungu kuua mbu[emoji16][emoji16]

Mwingine anakuja na jazba na kujaribu kuonyesha hekima zake katikati ua upuuzi na mzaha
Basi nacheeeka[emoji28][emoji28][emoji28]

Tz nchi nzuri na rahisi sana kuishi sana
 
Ila kama mnajichoresha flan hivi vijana..kwa n msikae kwa kutulia na ramadhan hii plus kwaresma muombe toba!?
Kwani unabii wako umekuonyesha tunafanya dhambi mkuu?
Au umehisi tunagusana?
Naomba usome tena unaweza kuelewa.
Andiko hili usiposoma vizuri utatoka na maana tofauti na kusudi mkuu.
 
Mkuu kuna nyakati za kuwa siriaz, na kuna nyakati za kujiachia.

Katikati ya ujinga huwa ni fursa yangu muhimu kujifunza vitu vipya kwa watu.

Huwa nafurahi ikiwa mimi natania au kusema jambo kwa mzaha then kuna mtu anabeba rungu kuua mbu[emoji16][emoji16]

Mwingine anakuja na jazba na kujaribu kuonyesha hekima zake katikati ua upuuzi na mzaha
Basi nacheeeka[emoji28][emoji28][emoji28]

Tz nchi nzuri na rahisi sana kuishi sana
Sasa dont u see kama una wa mock watu na akil zao..?
 
Back
Top Bottom