Leo ningependa kuzungumzia urembo kwa WANAWAKE.....!

Leo ningependa kuzungumzia urembo kwa WANAWAKE.....!

Hili darasa kweli, naongeza kitu kimoja SLEEP hata ujirembe vipi kama sura imechoka mvuto unapotea kabisa
So ladies get your beauty sleep. Wakati mwingine sio rahisi lakini tujitahidi.
 
we mzee umejuaje kuwa mi napenda nywele kama kitu gani sijui!
kwangu mimi mwanamke kichwa yake inanieleza vitu kibao!
mascara sijui lipbum sijui obagi na nini AAARGH!sio makitu kiviiiile kichwa ikiwa kwenye mstari wake wa pambizo bana hata uwe hujatinda nyusi!
unakuwa booooooomba ile baraaaah!
 
Kinachofurahisha na kutia moyo zaidi hadi wengine kuyapenda maisha ni kujua kuwa manjonjo yote hayo ni kwaajili yangu kwa kiasi kikubwa ...... lol!
Acha niyapende maisha, Mungu nipe kuishi kwingi nipate vingi vinono!

Cc: snowhite
igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
af mekumiss ujue bathi tu nakula kobis!
 
Mtambuzi naomba nikuulize kuhusu hayo mazoezi, yanaanza saa ngapi? na je ukifika unajiandikisha wapi? nipe utaratibu maana nimeshachoka na huu mwili.
 
Natamani kujiunga kwenye mazoezi yako lakini ndo niko mbaaali jamani.

Nitafutie hata CD ya mazoezi jamani nifanyie hata chumbani kwangu tu.
 
Back
Top Bottom