Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,421
- Thread starter
- #81
Unajua watu8 umenichekesha sana leo na post zako maana umewashupalia wadada ninafanya nao mazoezi kama nini.Hahah no need to be sorry besti, si unajua sisi tupo Umatumbini huku tunakula kwa macho tu...
Tukiwakosa hao basi tunawatafuta wafananao na viwango hivyo huku huku kwetu kina Fatuma Ndalandefu...
Ukimpiga sopusopu kama hii ya Mtambuzi hapa, ukamuanika juani kidogo...aaah Mungu si mzee Mkumba mtoto anakwiva viwango kama hivyo...
wale ni wake wa maofisa wa UN, wewe endelea kula tu kwa macho maana ukitimba maguu it will eat on your side... LOL
Karibu basi siku moja nawe utupiemo macho kwa karibu, na nimeongeza idadi ya wana JF wanne tayari, post yangu ya leo imehamasisha si unajua nimewatisha kwamba wasipofanya mazoezi hawatakuwa warembo... LOL
Copy to Smile & lara 1
Last edited by a moderator: