Leo nipo macho hadi asubuhi

Leo nipo macho hadi asubuhi

Unawaza nini mpaka huna usingizi?
Usingizi umekata vuup....
Nipo nawaza biashara zangu.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
mimi pia nipo macho twende pamoja tumalize night shift hii
 
Huko nyumbani nimepigiwa simu Binti yangu anapigana na mke wangu (mama yake) usingizi umeniruka kabisa na leo JF hakuna post za maana.🥴
Wanawake wasivyo pendana haijalishi wadhifa wao mama na mwana.
Hapo bro usiingilie kesho ukiwakuta hutadhani waliwahi kuhitilafiana
 
Ingia kwenye uzi wenu huo wa mapopo huwa wapo tu waku-chat nao bila kuomba👇👇👇👇

 
Nauguliwa na mama angu mzazi hapa nawaza naanzaje safari tooa Sumbawanga kwenda Dar alipo. Ruhusa ofisini si issue, issue huu umbali 😇
 
Back
Top Bottom