Leo nipo macho hadi asubuhi

Leo nipo macho hadi asubuhi

Nauguliwa na mama angu mzazi hapa nawaza naanzaje safari tooa Sumbawanga kwenda Dar alipo. Ruhusa ofisini si issue, issue huu umbali 😇
ok Mungu atampa nafuu mama,huo mkoa nimekaa sana miaka 25 iliyopita
 
Karibu kilingeni Msata tuangalie senema kwenye karai la maji
 
Pole Sana changamoto katika maisha ni kipimo cha akili..
Vipi umekosa hata lepe kidogo au ndio na aka kaubaridi umepata usingizi?
 
Back
Top Bottom