fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
- Thread starter
-
- #21
ok Mungu atampa nafuu mama,huo mkoa nimekaa sana miaka 25 iliyopitaNauguliwa na mama angu mzazi hapa nawaza naanzaje safari tooa Sumbawanga kwenda Dar alipo. Ruhusa ofisini si issue, issue huu umbali π
Ni kweli kabisa tena ukiskia ya mwenzio yakwako unashukuru Munguoh pole,usiogope pambana nayo na fajanu kila mtu ana changamoto zake
kabisaNi kweli kabisa tena ukiskia ya mwenzio yakwako unashukuru Mungu
Unalewa bar gani?Kama kuna mtu anataka kuchati nami karibu,leo silali
hapana nipo nyumbaniUnalewa bar gani?
OhooooKaribu kilingeni Msata tuangalie senema kwenye karai la maji