Leo nipoe zangu na mtoto wa Uingereza kupata Royal salute whisky

Hao si wachina. tu waliochangamka.
Juzi nimenunua hiyo na zingine nyingi tu.
Hatukumaliza dola 500
Nakukubalia nasema mi hiyo gold royal salute whisky ni tofauti na royal whisky ! Kaneno Gold royal 62 gun salute whisky usikakwepe huo ni mvinyo tofaut kabisa mkuu
 
Nakukubalia nasema mi hiyo gold royal salute whisky ni tofauti na royal whisky ! Kaneno Gold royal 62 gun salute whisky usikakwepe huo ni mvinyo tofaut kabisa mkuu
Ok tunakubaliana tu mlipigwa.
Kuna madingi kitambo tu nilikua nikiwauzia mzinga courvouser,hennes,v.s.o.p wanagoma hawanywi pombe cheap😅.
Mi narudi na bili nyingine tu watalipa mamilioni
 
Ok tunakubaliana tu mlipigwa.
Kuna madingi kitambo tu nilikua nikiwauzia mzinga courvouser,hennes,v.s.o.p wanagoma hawanywi pombe cheap😅.
Mi narudi na bili nyingine tu watalipa mamilioni
By the Bottle: Service in high-limit lounges 4x the retail price, $821.
Humu ndani hawakuuzii bei ya supermarket maana huko nje watakuuzia kwa 430$ ila ukishaingia ndani bei ni tofauti mzee, Sawa huko tz Heineken dukani ni 2000 ila ukienda lounge unaambiwa 3600 wengine mpaka 10,000 Tzsh
 
Naomba location ya huku bongo wanakouza heinken buku bee, huku nilipo wanatupiga sana aisee! Utaniokoa sana nikanunue bucket 10 nipoe nazo ndani🥴
 
Naomba location ya huku bongo wanakouza heinken buku bee, huku nilipo wanatupiga sana aisee! Utaniokoa sana nikanunue bucket 10 nipoe nazo ndani🥴
Sijui huko dar miaka ya 2020 mliman city nikikuwa nazinunua supermarket 2000, ila bar wanakuuzia 5000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…