Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Tuko sambamba mkuu kila mtu kwa urefu wa shingo yake.
Hapo ni USD 0.76 kwa chui mmoja
Hapo ni USD 0.76 kwa chui mmoja
Mtoto kaingia 18 zangu Kasema leo nakutoa out wewe wala usiingie mfukoni nafika nkuta wameleta Royal salute whisky haha ni 800$ babeki
Acha tule life
View attachment 3627774
Hatari
View attachment 3627773
sahihi.......nikiwa mkubwa nataka kua kama wewe.Naam tuvile kwanza visipite hivi hivi
Basi futa kichwa cha Uzi andika Leo upo na chotara la kisingapore na mynmar, ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu.Ni Msingapore na Myanmar ! Tunao nao wanakunywa, hii Royal whisky ni 800$ we utakuwa uliuziwa kibaba
Alafu kwenye heading anasema yupo na toto la kiingereza au ni mchina mwenye uraia wa uingereza, hili lihaya liongo balaa.Hakuna royal whisky ya mwingereza wewe hilo famba.
Na huyo mchina mko wote hapo anasema "banyaiyai"
500& ni pesa ya whisky zote ghali.
Labda utake misifa km kina rick ross mwankenja
Naam NaamTuko sambamba mkuu kila mtu kwa urefu wa shingo yake.View attachment 3628025
Hapo ni USD 0.76 kwa chui mmoja