Leo nipoe zangu na mtoto wa Uingereza kupata Royal salute whisky

Hakuna royal whisky ya mwingereza wewe hilo famba.
Na huyo mchina mko wote hapo anasema "banyaiyai"
500& ni pesa ya whisky zote ghali.
Labda utake misifa km kina rick ross mwankenja
Alafu kwenye heading anasema yupo na toto la kiingereza au ni mchina mwenye uraia wa uingereza, hili lihaya liongo balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…