Leo nmekula sahan mbili za wali maharage samak na kisamvu

anajua kama unapenda ugali au unataka a-assume??
 



!
!
Kaka Epuka Kulala Na Wenzio Leo, Au Mnduku Wako Uelekezee Dirishani
 



Naomba nielekeze namimi nipite maana ninauguza mgonjwa muhimbili nipe location ya hiyo corner nikapate lunch one day [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Sahani mbili tu ndo unafungua thread?njoo huku udzungwa watu tunafuta vijisinia deile. Japo kwa dar mkuu ni halali kwenu, ila huku hizo sahani ni za under17
Hqhahah,nmecheka sana mkuu
 
Sasa kama wanawake zako wanatumia nazi ya azam kuungia maharage na kisamvu utapata wapi taste ya chakula? Usione wenzio wanapenda wanawake wa Tanga ukawaona maboya wanajua shughuli yetu jikoni
 
Naomba nielekeze namimi nipite maana ninauguza mgonjwa muhimbili nipe location ya hiyo corner nikapate lunch one day [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Pale had nipite tena ndo ntapaweka vzur,manake ni mbele ya diamond ukumbi kuna tuta nadhan unavuka half upande wa kulia unaingia hiv,pamekaa hovyo hovyo flan ila ,nilikuta madereva weng wa taxii hapo,..yaan mi mwenyew ndo nmepitishwa leo mkuu,aiseee wacha kabsaaa.ni balaaa..
 
Kula sana sio afya wala sio eti ndio uanaume,unatakiwa ule balanced diet,kama vile,mboga,nyama,matunda,
maziwa,
juice na vinginevyo,tena visiwe vyakula frozen bali viwe fresh,

Kufakamia tu eti sijui misahani ya wali na maharage juu yake ni kujaza tumbo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…