Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Msosi kama huu???,mwanaume kula buana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anajua kama unapenda ugali au unataka a-assume??Mama,...vile vyakula skuhiz adimu,so ukikibahatisha unapiga,.
Skuhiz mkija kwetu mnapika spaghet na sausage au beef,au mnakaanga machips na makuku,.mi catch up inamiminwa mtoto wa kike anajua hapo ndo atanifurahisha,kumbe mi najifanya kumwitikia na kumsifia kua dah msos mtam kumbe rohon naona kaniharibia njaa yangu tuu.hovyo kabsa
Kitu real food,upate hapo ugal,mchicha kidogo,maharage ni must to me,.bamia bamia niiin..samak kibua kakaangwa vzur na pilipil ya kipemba/achali...au ubwabwa wa nazi saaafi,kachumbar kwa mbal,aseeeee,hapo mtu kama mim lazma nijae
Mwadela mayo, uli mhola?Nimeona umetaja kwetu Tabora nimejiskia kuitika. ..... Abeeeeh.
Wakuu,mnajua ubachela ni mzigo,..kuna baadh ya vyakula sili tena et,..na ikitokea nikavibabatiza mahal hua nachanganyikiwa kabsaaaaa
Leo kuna kona moja hiv mitaa ya diamond jubilee jamaa yangu alinambia pana msos mzur,.si pasaf sana kwakwel,..ila kiukwel sjawai kula chakula kama kile,kiukweli...misos kama ile nkiendaga nyumban ndio mama yangu hua anapika napata ile taste,.
Ila sio dem /madem/mchepuko wangu ama mwanamke yoyote aliwai pika nkala msos ka ule,..kiukwel yule mama anaepika pale leo kanifanya nione kua kuna umuhimu wa kwakwel kuchagua mwenza wa ndoa ambae yuko vzur jikon,
Nmekula had watu wakawa wananiangalia mara mbil mbil.maana baada ya sahan ya kwanza,nkamaliza nkaagiza nyingne
Vyakula vya kiofis ofis havina ladha,halaf unawai shiba mapema sjui kwanin.
Jaman mim napenda sana maharage,samak,kisamvu na ubwabwa.daaah,..aww na mchuziiii
Samahanin kwa uzi wa kijinga,ila nmeona nishee furaha yangu na wakuu

Hahahahah,huyu jamaa alikua kaagizwa msos wa jumla ama,?huyo jamaa simuwez kwakwelMsosi kama huu???,mwanaume kula buanaView attachment 779457
ndo mvumiliane we hupendi anachokipenda, naye hapendi hicho unachokipenda weweAnajua vzur tuu,..ila yeye na ugal ni paka na panya ndomana anafanyaga kusud.
Shughuli yenu pevuuSasa kama wanawake zako wanatumia nazi ya azam kuungia maharage na kisamvu utapata wapi taste ya chakula? Usione wenzio wanapenda wanawake wa Tanga ukawaona maboya wanajua shughuli yetu jikoni
Eeeeh. Msosi kwanza mengine baadae. Mtu asiposhiba hata kubiringita nae unaona hurumaShughuli yenu pevuu
Pale had nipite tena ndo ntapaweka vzur,manake ni mbele ya diamond ukumbi kuna tuta nadhan unavuka half upande wa kulia unaingia hiv,pamekaa hovyo hovyo flan ila ,nilikuta madereva weng wa taxii hapo,..yaan mi mwenyew ndo nmepitishwa leo mkuu,aiseee wacha kabsaaa.ni balaaa..Naomba nielekeze namimi nipite maana ninauguza mgonjwa muhimbili nipe location ya hiyo corner nikapate lunch one day [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Msipokula vizuri mnaweza mkavunjana mifupa.Eeeeh. Msosi kwanza mengine baadae. Mtu asiposhiba hata kubiringita nae unaona huruma
[emoji23] [emoji23]Sahani mbili umemaliza mwanaume wa dar????!!!!!!
Shushia bia nitalipa
Mwadela mayo, uli mhola?
Ukenge maji. Au Dalili za Ujames.Mwanaume kuandika awww ni dalili za__________